Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,468
113,583
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali "Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!".

Baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kutengua matokeo ya uchaguzi wa rais, wengi wa wanasiasa, wanaharakati na wana mitandao ya kijamii, wanajielekeza kwenye madai ya katiba mpya inayoruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani, kwa matumaini kama tungekuwa na sheria hiyo, Chadema Jee Chadema ingefungua shauri mahakamani kuhoji ushindi wa Magufuli kama walivyofanya wenzao wa Kenya?.

IMG_3405.JPG

Kwa swali hili, japo nakuachia wewe kutoa majibu, ila naomba katika kutoa maoni yako, pia naomba uzingatie hoja hizi tatu.

1. Jee Chadema wana hoja za msingi za kuyapinga matokeo hayo mahakamani?.
2. Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, Jee kina Seriousness ya Kungua Shauri Serious kama Hilo?. Inao wanasheria wenye that capacity kama wanasheria wenzao wa Kenya?.
3. Tuseme Chadema wana hoja za msingi, na wako serious with the capacity kufungua shauri, na wamefungua shauri, Jee Mahakama zetu zenye majaji wanaoteuliwa kwa hisani ya rais, zina uwezo wa kutoa haki kama The Supreme Court ya Kenya?.

Maoni Yangu.
1. Hoja za Chadema.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wetu yaliyompa ushindi Magufuli, Chadema walipinga matokeo hayo, jee walikuwa na hoja?. Jibu langu ni kweli Chadema walikuwa na hoja za msingi kabisa, lakini very unfortunately, hawana uwezo wa kuwasilisha hoja zao, zaidi ya kupiga tuu kelele!. Kama Chadema walikuwa na hoja, lakini katiba yetu hairuhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani, then wangewasilisha hizo hoja zao kwa umma, ili Watanzania tuwaelewe.
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu ...
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa ...

Jee kuna any moment ambapo Chadema waliwahi kuwasilisha hoja zao popote?.

2. Seriousness ya Chadema.
Kwa maoni yangu, japo Chadema ndicho chama kikuu cha upinzani kwa Tanzania kwa sasa, lakini Chadema has never been serious hata mara moja katika serious issues zinahusu kwenda mahakamani. Tangu Magufuli ameingia Ikulu, ameanza kwa kuisigina Katiba mwanzo mwisho!. Chadema wangekuwa serious, wangeishakwenda mahakamani!, but they are not!. Kama Katiba imeruhusu mikutano ya kisiasa, Magufuli ameingia madarakani kwa kula kiapo cha kuilinda katiba, halafu akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, Chadema padala ya kufungua shauri mahakamani, kupinga huu udikiteta wa rais Magufuli, ndio kwanza wanaunda UKUTA kuhamasisha maandamano na mikutano nchi nchi!. Udikiteta haupingwi kwa maandamano na mikutano, Chadema kingekuwa chama serious, kingefungua shauri mahakamani kuhoji kama katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Magufuli, amepiga marufuku mikutano hiyo ya kisiasa kwa kutumia mamlaka gani? na kifungu gani cha katiba?.
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...
CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Hivyo hata kama katiba yetu ingeruhusu matokeo ya urais kuhojiwa Mahakamani, lakini bado Chadema wasingefungua shauri kuhoji matokeo hayo kama wenzao wa Kenya, kwa sababu Chadema hawako serious kihivyo, wangekuwa serious kihivyo, then wangeonyesha seriousness yao katika madogo ambayo sheria zipo lakini they did nothing!. Sasa kama Chadema kwenye hili dogo tuu la udikiteta wameshindwa kuli challenge mahakamani, vipi kwenye kubwa la uchaguzi na matokeo ya urais?.

3. Makamama Zetu Ziko Huru?, Zinauwezo wa Kutenda Haki na Kutoa Haki na Haki Ikaonekana Inatendeka?.

Jibu ni hapana!. Japo mhimili wa mahakama ni moja ya mihili ya dola ambao unapaswa kuwa huru, yaani independence of the Judiciary, lakini kiukweli mahakama zetu haziko huru kivile. Kwanza shauri la kuhoji matokeo ya urais lingewasilishwa, Jamhuri ingekuja na hoja kuwa mjaza pingamizi, awasilishe mabilioni kadhaa mahakamani yalitumika kuandaa uchaguzi, au vikwazo vingine vyovyote, na mfano mzuri zile Kesi za Mchugaji Mtikila (RIP), kuhusu mgombea binafsi!.

Linapokuja suala linalohusu maslahi ya CCM na maslahi ya rais ambaye ndiye mteuzi wa watendani wa mahakama, maslahi ya CCM na maslahi ya rais yanawekwa mbele.
Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof. | JamiiForums | The Home of ...
Mhe.Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu ...

Hitimisho.
Japo sisi hatuna sheria ya kupinga matokeo ya urais mahakamani, lakini hata kama tungekuwa na sheria hiyo, safari ya kuwafikia wenzetu Wakenya pale walipo, bali ni mbali kwa Tanzania kwa sababu bado hatuna any credible na serious opposition ya kuyafanya waliyoyafanya wenzetu wa Kenya. Upinzani wetu bado ni upinzani uchwala!, wanasheria wetu ni wanasheria uchwala, mahakama zetu bado ni mahakama uchwala na baadhi ya majaji wa mahakama zetu pia ni majaji uchwala wakiongozwa na Acting
CJ makini lakini yuko kwenye probation!, ila kwa vile kwa mujibu wa sheria, mwisho wa kukaimu ni miezi 9, na huu ndio mwezi wa 9 tangu alipoanza probation, lets hope mwezi huu, ama atathibitishwa na kuwa CJ, au tutapatiwa CJ kamili!.

Haya ni maoni yangu, vipi wewe mwenzagu, unasema kwa hoja hizi?.

Wasalaam.

Paskali.
 
Huyo CJ anamalizia miezi yake 9 ya probation thereafter atateuliwa mwingine kukaimu hiyo nafasi kwa miezi 9. Na akimaliza huyo hiyo miezi 9 atateuliwa mwingine kukaimu tena kwa miezi 9. Ni mwendo wa probation mpaka mkulu anamaliza kipindi chake cha 5yrs.

Chattle baby

Lexus Mayai
 
Nimesoma paragraph ya kwanza na ya pili, nikaona we jamaa umekurupuka tu kuandika, ili na wewe uonekane kua ulitoa uchambuzi kwenye hili. Kifupi unauliza maswali ulio na majibu.

Mfano:-Unauaje kama hawana wanasheria imara mabao wangeweza kuwasilisha uteuzi wao...wakati katiba yenyewe hauiruhusu kuhoji hayo matokeo?.

Msikurupuke kuandika bana..
 
Upinzani ni nani?
Upinzani au watawala ni watanzania. Tujilaumu sisi kama watanzania. Katiba imekuwepo tangu miaka hiyo, mahakama, TLS, majaji vyote vimekuwepo tangu miaka hiyo.
Swali ni je, vyombo vyote hivyo, watanzania kupitia bunge linalo tunga na kupitia sheria hawakuona kwamba katiba ina vifungu vinavyo jipinga?

Katiba inasema hakuna mtu, mamlaka iliyopo juu ya sheria.

Lakini katiba hiyo hiyo inaeleza kuwa rais hatashitakiwa mahakamani kwa jambo lolote!
Je, kwa vile rais anajua hashitakiwi, akiamua kutenda kinyume na katiba mtamfanyaje?

Watanzania tuendelee kuinamisha vichwa tu, tusilaumu wapinzani, kwanza hakuna aliye sajiliwa kama mpinzani. Akili zetu tunazijua wenyewe na "Elimu ndogo ni Sumu"
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali "Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!".

Baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kutengua matokeo ya uchaguzi wa rais, wengi wa wanasiasa, wanaharakati na wana mitandao ya kijamii, wanajielekeza kwenye madai ya katiba mpya inayoruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani, kwa matumaini kama tungekuwa na sheria hiyo, Chadema Jee Chadema ingefungua shauri mahakamani kuhoji ushindi wa Magufuli kama walivyofanya wenzao wa Kenya?.

Kwa swali hili, japo nakuachia wewe kutoa majibu, ila naomba katika kutoa maoni yako, pia naomba uzingatie hoja hizi tatu.

1. Jee Chadema wana hoja za msingi za kuyapinga matokeo hayo mahakamani?.
2. Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, Jee kina Seriousness ya Kungua Shauri Serious kama Hilo?. Inao wanasheria wenye that capacity kama wanasheria wenzao wa Kenya?.
3. Tuseme Chadema wana hoja za msingi, na wako serious with the capacity kufungua shauri, na wamefungua shauri, Jee Mahakama zetu zenye majaji wanaoteuliwa kwa hisani ya rais, zina uwezo wa kutoa haki kama The Supreme Court ya Kenya?.

Maoni Yangu.
1. Hoja za Chadema.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wetu yaliyompa ushindi Magufuli, Chadema walipinga matokeo hayo, jee walikuwa na hoja?. Jibu langu ni kweli Chadema walikuwa na hoja za msingi kabisa, lakini very unfortunately, hawana uwezo wa kuwasilisha hoja zao, zaidi ya kupiga tuu kelele!. Kama Chadema walikuwa na hoja, lakini katiba yetu hairuhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani, then wangewasilisha hizo hoja zao kwa umma, ili Watanzania tuwaelewe.
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu ...
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa ...

Jee kuna any moment ambapo Chadema waliwahi kuwasilisha hoja zao popote?.

2. Seriousness ya Chadema.
Kwa maoni yangu, japo Chadema ndicho chama kikuu cha upinzani kwa Tanzania kwa sasa, lakini Chadema has never been serious hata mara moja katika serious issues zinahusu kwenda mahakamani. Tangu Magufuli ameingia Ikulu, ameanza kwa kuisigina Katiba mwanzo mwisho!. Chadema wangekuwa serious, wangeishakwenda mahakamani!, but they are not!. Kama Katiba imeruhusu mikutano ya kisiasa, Magufuli ameingia madarakani kwa kula kiapo cha kuilinda katiba, halafu akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, Chadema padala ya kufungua shauri mahakamani, kupinga huu udikiteta wa rais Magufuli, ndio kwanza wanaunda UKUTA kuhamasisha maandamano na mikutano nchi nchi!. Udikiteta haupingwi kwa maandamano na mikutano, Chadema kingekuwa chama serious, kingefungua shauri mahakamani kuhoji kama katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Magufuli, amepiga marufuku mikutano hiyo ya kisiasa kwa kutumia mamlaka gani? na kifungu gani cha katiba?.
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...
CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Hivyo hata kama katiba yetu ingeruhusu matokeo ya urais kuhojiwa Mahakamani, lakini bado Chadema wasingefungua shauri kuhoji matokeo hayo kama wenzao wa Kenya, kwa sababu Chadema hawako serious kihivyo, wangekuwa serious kihivyo, then wangeonyesha seriousness yao katika madogo ambayo sheria zipo lakini they did nothing!. Sasa kama Chadema kwenye hili dogo tuu la udikiteta wameshindwa kuli challenge mahakamani, vipi kwenye kubwa la uchaguzi na matokeo ya urais?.

3. Makamama Zetu Ziko Huru?, Zinauwezo wa Kutenda Haki na Kutoa Haki na Haki Ikaonekana Inatendeka?.

Jibu ni hapana!. Japo mhimili wa mahakama ni moja ya mihili ya dola ambao unapaswa kuwa huru, yaani independence of the Judiciary, lakini kiukweli mahakama zetu haziko huru kivile. Kwanza shauri la kuhoji matokeo ya urais lingewasilishwa, Jamhuri ingekuja na hoja kuwa mjaza pingamizi, awasilishe mabilioni kadhaa mahakamani yalitumika kuandaa uchaguzi, au vikwazo vingine vyovyote, na mfano mzuri zile Kesi za Mchugaji Mtikila (RIP), kuhusu mgombea binafsi!.

Linapokuja suala linalohusu maslahi ya CCM na maslahi ya rais ambaye ndiye mteuzi wa watendani wa mahakama, maslahi ya CCM na maslahi ya rais yanawekwa mbele.
Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof. | JamiiForums | The Home of ...
Mhe.Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu ...

Hitimisho.
Japo sisi hatuna sheria ya kupinga matokeo ya urais mahakamani, lakini hata kama tungekuwa na sheria hiyo, safari ya kuwafikia wenzetu Wakenya pale walipo, bali ni mbali kwa Tanzania kwa sababu bado hatuna any credible na serious opposition ya kuyafanya waliyoyafanya wenzetu wa Kenya. Upinzani wetu bado ni upinzani uchwala!, wanasheria wetu ni wanasheria uchwala, mahakama zetu bado ni mahakama uchwala na baadhi ya majaji wa mahakama zetu pia ni majaji uchwala wakiongwa na CJ aliyepo kwenye probation!, ila kwa vile kwa mujibu wa sheria, mwisho wa probation period ni miezi 9, na huu ndio mwezi wa 9 tangu alipoanza probation, lets hope mwezi huu, ama atathibitishwa na kuwa CJ, au tutapatiwa CJ kamili!.

Haya ni maoni yangu, vipi wewe mwenzagu, unasema kwa hoja hizi?.

Wasalaam.

Paskali.
Umepakia hoja nzito kwenye gari la "Full kufikirika"
 
Pia, swala la tume huru ya uchaguzi, mahakama huru, na mamlaka nyingine hutokana na muundo wa mamla hizo, viongozi wake wanapatokanaje, nk. Kitendo cha kusema kwamba matokeo ya uchaguzi wa rais hayatahojiwa popote, tume haitachunguzwa kwa jambo lolote ni madhaifu makubwa kwa watanzania kushindwa kuhoji malengo ya vifungu hivyo! Taifa limekosa hata mtu mmoja, jopo, kuweza kufungua shitaka juu ya makosa hayo ya kikatiba ambayo yapo wazi kiasi hicho? Watanzania tunatakiwa kupimwa akili.
Elimu ndogo ni Sumu.
 
Wanabodi,

Hii ni thread ya swali "Kama Katiba Yetu Ingeruhusu Matokeo ya Urais Kuhojiwa Mahakamani, Jee Chadema Wangepinga Ushindi wa Magufuli?!".

Baada ya Mahakama Kuu nchini Kenya kutengua matokeo ya uchaguzi wa rais, wengi wa wanasiasa, wanaharakati na wana mitandao ya kijamii, wanajielekeza kwenye madai ya katiba mpya inayoruhusu matokeo ya urais kuhojiwa mahakamani, kwa matumaini kama tungekuwa na sheria hiyo, Chadema Jee Chadema ingefungua shauri mahakamani kuhoji ushindi wa Magufuli kama walivyofanya wenzao wa Kenya?.

Kwa swali hili, japo nakuachia wewe kutoa majibu, ila naomba katika kutoa maoni yako, pia naomba uzingatie hoja hizi tatu.

1. Jee Chadema wana hoja za msingi za kuyapinga matokeo hayo mahakamani?.
2. Chadema kama Chama Kikuu cha Upinzani, Jee kina Seriousness ya Kungua Shauri Serious kama Hilo?. Inao wanasheria wenye that capacity kama wanasheria wenzao wa Kenya?.
3. Tuseme Chadema wana hoja za msingi, na wako serious with the capacity kufungua shauri, na wamefungua shauri, Jee Mahakama zetu zenye majaji wanaoteuliwa kwa hisani ya rais, zina uwezo wa kutoa haki kama The Supreme Court ya Kenya?.

Maoni Yangu.
1. Hoja za Chadema.
Baada ya kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi wetu yaliyompa ushindi Magufuli, Chadema walipinga matokeo hayo, jee walikuwa na hoja?. Jibu langu ni kweli Chadema walikuwa na hoja za msingi kabisa, lakini very unfortunately, hawana uwezo wa kuwasilisha hoja zao, zaidi ya kupiga tuu kelele!. Kama Chadema walikuwa na hoja, lakini katiba yetu hairuhusu matokeo ya urais kupingwa mahakamani, then wangewasilisha hizo hoja zao kwa umma, ili Watanzania tuwaelewe.
Kama Hii ni Kweli, Then, Serikali ya Magufuli ni Serikali Haramu ...
Ushauri wa Bure kwa Lowassa: Hata kama ni kweli uliibiwa kura; Kaa ...

Jee kuna any moment ambapo Chadema waliwahi kuwasilisha hoja zao popote?.

2. Seriousness ya Chadema.
Kwa maoni yangu, japo Chadema ndicho chama kikuu cha upinzani kwa Tanzania kwa sasa, lakini Chadema has never been serious hata mara moja katika serious issues zinahusu kwenda mahakamani. Tangu Magufuli ameingia Ikulu, ameanza kwa kuisigina Katiba mwanzo mwisho!. Chadema wangekuwa serious, wangeishakwenda mahakamani!, but they are not!. Kama Katiba imeruhusu mikutano ya kisiasa, Magufuli ameingia madarakani kwa kula kiapo cha kuilinda katiba, halafu akapiga marufuku mikutano ya kisiasa, Chadema padala ya kufungua shauri mahakamani, kupinga huu udikiteta wa rais Magufuli, ndio kwanza wanaunda UKUTA kuhamasisha maandamano na mikutano nchi nchi!. Udikiteta haupingwi kwa maandamano na mikutano, Chadema kingekuwa chama serious, kingefungua shauri mahakamani kuhoji kama katiba inaruhusu mikutano ya kisiasa, Rais Magufuli, amepiga marufuku mikutano hiyo ya kisiasa kwa kutumia mamlaka gani? na kifungu gani cha katiba?.
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane ...
CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue ...
Je, CHADEMA inaweza kushinda 2020? Is it serious, credible ...
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria ...

Hivyo hata kama katiba yetu ingeruhusu matokeo ya urais kuhojiwa Mahakamani, lakini bado Chadema wasingefungua shauri kuhoji matokeo hayo kama wenzao wa Kenya, kwa sababu Chadema hawako serious kihivyo, wangekuwa serious kihivyo, then wangeonyesha seriousness yao katika madogo ambayo sheria zipo lakini they did nothing!. Sasa kama Chadema kwenye hili dogo tuu la udikiteta wameshindwa kuli challenge mahakamani, vipi kwenye kubwa la uchaguzi na matokeo ya urais?.

3. Makamama Zetu Ziko Huru?, Zinauwezo wa Kutenda Haki na Kutoa Haki na Haki Ikaonekana Inatendeka?.

Jibu ni hapana!. Japo mhimili wa mahakama ni moja ya mihili ya dola ambao unapaswa kuwa huru, yaani independence of the Judiciary, lakini kiukweli mahakama zetu haziko huru kivile. Kwanza shauri la kuhoji matokeo ya urais lingewasilishwa, Jamhuri ingekuja na hoja kuwa mjaza pingamizi, awasilishe mabilioni kadhaa mahakamani yalitumika kuandaa uchaguzi, au vikwazo vingine vyovyote, na mfano mzuri zile Kesi za Mchugaji Mtikila (RIP), kuhusu mgombea binafsi!.

Linapokuja suala linalohusu maslahi ya CCM na maslahi ya rais ambaye ndiye mteuzi wa watendani wa mahakama, maslahi ya CCM na maslahi ya rais yanawekwa mbele.
Nani Zaidi Kati ya Bunge na Mahakama?!. The Doctrine of ...
Katazo la Rais Kusafiri Nje ya Nchi bila Vibali: Je, Halikiuki ...
Je, Huu Sio Uvunjaji wa Haki Za Msingi za Binaadamu Unaofanywa na ...
Kaimu Jaji Mkuu wa TZ, pole Prof. | JamiiForums | The Home of ...
Mhe.Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu ...

Hitimisho.
Japo sisi hatuna sheria ya kupinga matokeo ya urais mahakamani, lakini hata kama tungekuwa na sheria hiyo, safari ya kuwafikia wenzetu Wakenya pale walipo, bali ni mbali kwa Tanzania kwa sababu bado hatuna any credible na serious opposition ya kuyafanya waliyoyafanya wenzetu wa Kenya. Upinzani wetu bado ni upinzani uchwala!, wanasheria wetu ni wanasheria uchwala, mahakama zetu bado ni mahakama uchwala na baadhi ya majaji wa mahakama zetu pia ni majaji uchwala wakiongwa na CJ aliyepo kwenye probation!, ila kwa vile kwa mujibu wa sheria, mwisho wa probation period ni miezi 9, na huu ndio mwezi wa 9 tangu alipoanza probation, lets hope mwezi huu, ama atathibitishwa na kuwa CJ, au tutapatiwa CJ kamili!.

Haya ni maoni yangu, vipi wewe mwenzagu, unasema kwa hoja hizi?.

Wasalaam.

Paskali.
Mkuu umeongea mmbo mengi sana,mi naomba kukuuliza moja tuuu,nani kakuambia mwisho wa Probation/kukaimu ni miezi 9?
mbona kuna watu wengi tuu wana kaimu zaidi ya mwaka/miaka miwili? si anaambiwa bado tunaendelea kukuangalia so Probation extended to 2 years.hata mashirika ya serikali mbona ipo sana hii,Au mimi ndo sielewi?
 
Back
Top Bottom