Kama katiba iliyopo haikuheshimiwa, hata katiba mpya mambo yatakuwa yaleyale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama katiba iliyopo haikuheshimiwa, hata katiba mpya mambo yatakuwa yaleyale

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by silver25, Dec 29, 2010.

 1. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  MI NAWASHANGAA SANA WATANZANIA,
  hII KATIBA ILIYOPO MAMILIONI YA WATANZANIA HAWAIJUI INAZUNGUMZIA NINI, NA IMEFUATWA WAPI. wATU WANAKUFA WANAONEWA WANAFUNGWA BILA HATIA, NA WENGINE WANAACHWA HURU WAKIWA NA MAKOSA MAKUBWA YA JINAI,

  kATIBA HII NI MUONGOZO TENA INAMUONGOZO MZURI TU,, SEMA NI VIPANDE VICHACHE KAMA SI VIEILI BASI VITATU NDO VINA MATATIZO,,

  kWANINI WATANZANIA TUSI UNGANIE KUSHINIKIZA BASI KATIBA HIHI HIH IFUATWE? NADHANI IKIFUATWA BASI KATIBA MPYA ITAKUJA OUTOMATIC, KAMA KUNAHITAJI LA KUMODIFY LITENDWE.. LAKINI SASA TUJITAHIDI KUSHINIKIZA SELIKALI IFANYE JITIHADA ZA KUAMKA KULE ULIKO LALA, MAANA USINGIZI AMBAO SELIKALI IMELALA NI FOFOFO
   
 2. silver25

  silver25 JF-Expert Member

  #2
  Dec 30, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Labda Tukiwaelimisha Wananchi umuhimu wa Katiba n do tuta weza kushinikiza Selikali changes za Katiba jamani
   
Loading...