Kama Kamishna wa Polisi Diwani Athuman ataondolewa TAKUKURU, tutaanza kuhoji Vetting ya Rais Magufuli

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,888
Salaam,

Tangu rais Magufuli aingie Madarakani, TAKUKURU Hapajatulia kabisa. Kama Diwani atatenguliwa, atakuwa ni Boss wa tatu kutenguliwa tangu Rais Magufuli aingie Madarakani.

Dkt Edward Hoseah alitenguliwa kutokana na rais na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam. Akapewa Mlowola. Je, hali imebadilika tangu Hoseah atenguliwe?

Valentino Mlowola akatemwa na akapewa ubalozi. Kwamba alishindwa kuchukua hatua dhidi ya madudu yaliyotokea kwenye hotel moja huko Musoma, sababu nyingine ni kushindwa kushughulikia migogoro ya ardhi baada ya hapo akamuweka mchapa kazi Diwani. Je, kuna kilichofanyika tangu atenguliwe?

6 Sep 2018 Kamishna wa Polisi Diwani Athuman aliteuliwa kushika Usukani wa TAKUKURU, hadi sasa hajamaliza hata mwaka. Hakuna binadamu aliyekamilika.. Naomba apewe nafasi ya kujifunza sababu bado amezungukwa na watu wachafu manyankuzi na Majambazi ya Kijani, mpe muda ajifunze jinsi ya kudeal nao kwa akili.

Ukimtoa na huyu ambaye hajamaliza hata mwaka, watu watahoji vetting inayofanywa na Taasisi ya rais dhidi ya wateule wako.

Mimi nashauri umuondoe Kipilimba ndio anayekuangusha. Anakuletea habari za uongo ili aogopwe na watendaji wako.

Dr Modestus Kipilimba mpangie kazi nyingine au arudi NIDA kwani tangu atoke mambo yamekwama na malalamiko yamekuwa mengi.

Tafuta mcha Mungu, mchapa kazi na mzalendo ndo umpe nafasi ya Kipilimba ndo utaona ufanisi wa Sekta zote za Serikali.

Dr. Kipilimba ameshindwa kujikita kwenye swala la Uchumi ili nchi iongeze mapato badala yake amejikita kwenye maswala ya Siasa ya nchi. Angalia sasa Mikataba mibovu, utoroshwaji wa madini, wanyama.

Sakata la Korosho dhidi ya Kampuni toka Kenya, ilikuwa sababu tosha kumuondoa Kapilimbia kwenye Ofisi za Umma. Tundu Lissu kupigwa risasi alitakiwa ajiuzulu.

Hatuwezi kukubali Musiba atuamlie cha kufanya. Anatumwa kuchafua watu ili wakifukuzwa ionekane ni haki. Mtazua taharuki. Kwa Athumani Diwan ni sawa na Kujipalia mkaa. Athuman ni mzee wa Vitendo si Maneno.

Salaam,

Tangu rais Magufuli aingie Madarakani, TAKUKURU Hapajatulia kabisa. Kama Diwani atatenguliwa, atakuwa ni Boss wa tatu kutenguliwa tangu Rais Magufuli aingie Madarakani.

Dkt Edward Hoseah alitenguliwa kutokana na rais na kutorishwa na namna taasisi hiyo ilivyokua ikitekeleza wajibu wake katika kukabiliana na rushwa hususani kwenye upotevu wa mapato ya serikali katika bandari ya Dar es salaam. Akapewa Mlowola. Je, hali imebadilika tangu Hoseah atenguliwe?

Valentino Mlowola akatemwa na akapewa ubalozi. Kwamba alishindwa kuchukua hatua dhidi ya madudu yaliyotokea kwenye hotel moja huko Musoma, sababu nyingine ni kushindwa kushughulikia migogoro ya ardhi baada ya hapo akamuweka mchapa kazi Diwani. Je, kuna kilichofanyika tangu atenguliwe?

6 Sep 2018 Kamishna wa Polisi Diwani Athuman aliteuliwa kushika Usukani wa TAKUKURU, hadi sasa hajamaliza hata mwaka. Hakuna binadamu aliyekamilika.. Naomba apewe nafasi ya kujifunza sababu bado amezungukwa na watu wachafu manyankuzi na Majambazi ya Kijani, mpe muda ajifunze jinsi ya kudeal nao kwa akili.

Ukimtoa na huyu ambaye hajamaliza hata mwaka, watu watahoji vetting inayofanywa na Taasisi ya rais dhidi ya wateule wako.

Mimi nashauri umuondoe Kapilimba ndio anayekuangusha. Anakuletea habari za uongo ili aogopwe na watendaji wako.

Dr Modestus Kapilimba mpangie kazi nyingine au arudi NIDA kwani tangu atoke mambo yamekwama na malalamiko yamekuwa mengi. Tafuta mcha Mungu, mchapa kazi na mzalendo ndo umpe nafasi ya Kapilimba ndo utaona ufanisi wa Sekta zote za Serikali.

Dr. Kapilimba ameshindwa kujikita kwenye swala la Uchumi ili nchi iongeze mapato badala yake amejikita kwenye maswala ya Siasa ya nchi. Angalia sasa Mikataba mibovu, utoroshwaji wa madini, wanyama. Sakata la Korosho dhidi ya Kampuni toka Kenya, ilikuwa sababu tosha kumuondoa Kapilimbia kwenye Ofisi za Umma. Tundu Lissu kupigwa risasi alitakiwa ajiuzulu.

Hatuwezi kukubali Musiba atuamlie cha kufanya. Anatumwa kuchafua watu ili wakifukuzwa ionekane ni haki. Mtazua taharuki. Kwa Athumani Diwan ni sawa na Kujipalia mkaa. Athuman ni mzee wa Vitendo si Maneno.

Acha kupiga ramli chonganishi!
 
Ndugu..
Kwenye maswala ya kijeshi na ulinzi mambo ya "UchaMungu" hayana nafasi, ukitaka viongozi wa haiba iyo wateuweni makanisani kwenu.

Uadilifu, Utiifu na Uzalendo ndio vigezo kwenye utawala wowote na sio kwenye usalama pekee..

Hoja yako haina mashiko, ikokishabiki
 
Back
Top Bottom