Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U a right mkuu, tamaa zetu na upuuzu wetu katika kulifilisi taifa isiwe kero kwa wengine. Tuanze na washenzi wa humu ndani maana kama ulivyosema process zote lazima zilianza na watendaji wa sekta zote muhimu. Mbona tunajitia hamnazo?? Agh!Mimi naona mnaoneana aibu au ndio ile SERA yenu ya KUVUMILIANA na sio KUHISHIMIANA.
Siku zote uchunguzi unaanzia kwenu kwa kujua je kweli ndege ya Qatar ilikuja na kutua Tanzania. Kumbuka ili ndege kutua lazima ipate kibali cha nchi husika na kuondoka lazima kipatikane kibali cha kuruhusu ndege ile kuondoka na kile ilichopakia. Kwa hiyo ushahidi wenu wa Kwanza kuleta kwa Serikali ya Qatar ni kuleta Vibali vyote vya ndege hiyo kutua, kukaa na kuondoka. Kibali hicho kinaonyesha namba ya ndege na particular muhimu zote.
Pili vibali vya kuchukulia wanyama hao. nani aliidhinisha huko kwenu.
Cha mwisho ambacho kinatakiwa kama ushahidi maalum ni je kuna Medical Doc zozote zinazoweza kuonyesha kuwa mnyama huyu katokea Tanzania na sio kenya wala Ethiopia.
Kwa hiyo utaona kila kitu kinatakiwa kianzie kwenu na huku ni kuja kumalizia tu.
Majuzi tuu nilimsikia waziri wa maliasili/utalii Balozi Khamis Kagasheki akilalamika kuwa nchi ya Qatar inakataa kutoa ushirikiano katika kuchunguza wanyama waliobiwa hapa Tanzania na inagoma kuruhusu Tanzania kuingia huko ili kuwaona wanyama hao. Sasa kama ndio hivo kuna haja gani kuendelea na mahusiano na nchi hii iliyoshiriki kuiibia nchi yetu maliasili muhimu?
Mimi naona ni bora sasa tu declare diplomatic protest na kumfukuza balozi wao hapa nchini mana nchi yake imetugomea kwa hili.
---Tuanze na kuvunja uhusiano wetu na CCM na serikali yake kwa ujambazi huu maana hii sio issue ya kwanza kulizwa, EPA wameingia mpaka BoT wakachota mabilioni hawa wanajulikana lakini wakaambiwa warudishe wasepe (sijui kama walirudisha), Meremeta tukaambiwa ni usalama wa taifa lakini shareholders wapo mpaka wazungu, Richmond Dowans mwenye nyumba kadai hawajui hata kwa sura - ingawa walivunja nyumba yake mpaka ikabidi ajenge upya. RADA wanaangaliana usoni wanacheka - hakuna wa kushughulikia mwenzake. tumalizane na hawa majambazi kwanza na ndipo hata Qatar watajua we are serious. lakini kwa record ya serikali hii, hata Burundi wangegoma.
Barubaru, GHIBUU,
..kilichofanyika hapa bongo ni kutimuliwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa wahusika wa idara ya wanyama pori.
..kuhusu origin ya wanyama sidhani kama hilo lina utata kutokana na ukweli kwamba wanyama wenyewe wameondokea uwanja wa ndege wa KIA.
..It doesnt make sense kwa wanyama watoke Kenya au Ethiopia wasafirishwe mpaka Bongo halafu wapandishwe ndege kwenda Qatar.
..kwa upande mwingine, kinachonishangaza ni kwamba waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, mh.MEMBE, amekuwa kimya katika suala hili. naamini RUSHWA na UMASIKINI wetu ndiyo kinachosababisha ukimya huu.
..hivi USA ingepeleka dege la jeshi CHINA na kuiba PANDA unafikiri wahusika wangekaa kimya??
..mwisho, kitendo cha ndege ya JESHI LA QATAR kuhusishwa na WIZI wa nyara za taifa lingine ni AIBU na KASHFA. nafikiri QATAR nao wanapaswa kufanya UCHUNGUZI kuhusu suala hili ili KUJISAFISHA, unless kilichotokea ni OFFICIAL POLICY ya serikali ya nchi hiyo.
.
Pole sana.
Hata chooni kwa muungwana anabisha hodi.
Qatar ni nchi yenye mamlaka kamili sio public toilet.
Fuata sharia za kimataifa sio kukurupuka.jichunguze mwenyewe kwanza kabla kurukia nchi za wenzako. PELEKA UTHIBITISHO WA KISHARIA KUONYESHA KUNA WANYAMA WAKO PALE NA KUONYESHA WALIFIKAJE.
Sio Sharia wewe usituletee unazi wako hapa. sio kila nchi inatumia sharia. kiufasaha ulitakiwa kusema "sheria za kimataifa"
Majuzi tuu nilimsikia waziri wa maliasili/utalii Balozi Khamis Kagasheki akilalamika kuwa nchi ya Qatar inakataa kutoa ushirikiano katika kuchunguza wanyama waliobiwa hapa Tanzania na inagoma kuruhusu Tanzania kuingia huko ili kuwaona wanyama hao. Sasa kama ndio hivo kuna haja gani kuendelea na mahusiano na nchi hii iliyoshiriki kuiibia nchi yetu maliasili muhimu?
Mimi naona ni bora sasa tu declare diplomatic protest na kumfukuza balozi wao hapa nchini mana nchi yake imetugomea kwa hili.
Utumwa tabu kweli.
Nashukuru Mungu mama zako na baba zako wako Wete, Pemba na hata ufanyaje bado utakuwa m-Qatar mwenye asili ya Uamsho.
Ahlan Wasallan!
Hii thread ina watumwa wengi, wacha nichangenye mironjo yangu aka.