Kama JF itaunda Serikali leo, Nani angefaa kuwa Nani?

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,415
85,842
Wana CC,
Naomba ikumbukwe kuwa tuna watu makini sana humu ndani, wenye uelewa tofauti tofauti, tuna wasomi na wasio wasomi, wenye busara na wasio na busara. Haya sasa kama Tungeombwa leo hii tupendekeze majina ya wana JF kuunda serikali (whether ni ya Muungano au ya Upekee), ungependa nani awe nani? Tuanze na Wizara na Wakurugenzi tu, tuone uwezo wetu wa kuunda Serikali. Simaanishi tuipindue iloko madarakani.........

Je Mwana JF mwenzetu Prof Ana Tibaijuka abaki na wizara yake? Ni mfano tu
Karibuni
 
Last edited by a moderator:
Mimi ningekuwa first lady wa huyo wa juu .ndio nafwasi inayonifwaaa
 
hahahahaaaa katiba mpya haitambui hicho cheo ujue, jaribu kingine
muhusika atakuwa anakitambua mimi kwangu yatosha usalama hata nikokanyaga nyanya za watu niweze kulipa akili yangu itumike kitandani tu hahahaahahahah
 
hahahahahaaa Mpwa hapa nimechoka, hio haitakua Serikali sasa bali sirikali, akili zako zitumike kitandani tu??? Hii Kali sana
muhusika atakuwa anakitambua mimi kwangu yatosha usalama hata nikokanyaga nyanya za watu niweze kulipa akili yangu itumike kitandani tu hahahaahahahah
 
tena "vyakula vya usiku", sio vyakula tu ndio anavyotaka kupika yeye
nivea
niishi na muheshimiwa alafu nitumie ubongo kutafuta pesa !!pesa atafute yye kutumia tutumie wote mie kaziangu kuweka maji hiliki,kisosi bafuni chakuweka mali za mzeee na kataulo kananukiaaa na nguvu yakumpakata nikimpaka mafuta khekhekehekeheke
 
ha ha haaa
nani anataka vidole juu
mie ninataka kuendelea kuwa mkulima tena wa kawaida tu.
nshachoka na serikali zenu za kitu kidogo
bure nishindwe kwenda mbinguni kisa pesa.
Hahahaaaaa unafaa kuwa Kwenye Wizara ya Sophia Simba, sijui inaitwaje
 
Elli sijajua atamkamatia wapi ili apike hicho chakula
kama presida mwenyewe ndo hivyo kila siku yuko angani
kaonekana bongo ni kwenye msiba
mbona Nivea atachina humo mjengoni.
Tena "Vyakula vya Usiku", sio vyakula tu ndio anavyotaka kupika yeye
Nivea
 
Last edited by a moderator:
Mi ningekuwa risponsibo na kung'oa kucha, meno na kukata mapembe ya wale wote waendao kinyume na chilikali...
 
Back
Top Bottom