Kama JF itaunda Serikali leo, Nani angefaa kuwa Nani?

Kumbe chit chat ... Napita tu.. i can do.better than this ..
 
Nitafaa kuwa mkurugenzi wa mambo yote yahusuyo warembo na mabinti under 18 na wale wenye stress na ndoa zao nitasimamia shule zote za wasichana na mambo yote yahusuyo machangu na madada poa nina sera makini mno katika hilo
 
Hiii mbona imeka ki-greenguard sana, Katiba yenu ya chama inaruhusu vikundi vya kujilinda? kama ndio basi endeleeni but tafadhali isiwe red brigade
Mie UWAMANDO (Umoja Wa Wanawake Mabaunsa Ndoani).
Katibu wangu napenda awe Mamndenyi.
 
Back
Top Bottom