Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,117
- 3,040
Baada ya kupata teuzi Mkuu ndio akatulia, aliendelea kutukana na kupinga serikali hata mwendazake alivyotutoka Mpaka alipopata teuzi ndio akaja kutuliaHujui unaloliongelea wewe...hivi unamjua Kigogo alikuwa nani?...umesikia tena Kelele za Kigogo baada ya Mwendazake kuondoka?
Sasa hivi anapost kusifia wakina Nape na Mzee Makamba Mungu alivyomkali anamdhalilisha
Amefuta post zote za Zamani kabla teuzi zile za kumtukana mama. Jk na serikali yote kwa ujumla
January na dada yake Walikua na ugomvi na mange sasa hivi wamepatana na kwa hivyo anamtumia Mange Kimambi na alimuaminisha Mange kua Mwigulu atatumbuliwa na Kimei anaenda wizara ya Fedha, Mange akapost hakuna kilichotokea Mungu alivyomkali