Kama January Makamba ana mpango wa kugombea Urais 2030, namshauri akabatizwe kwa maji mengi mapema

Wilderness Voice

JF-Expert Member
May 19, 2016
725
1,000
Ngoja tuone....nje ya baraza la mawaziri atoke rais? Haaa sijui
Kwani tulijua mama Samia atakuwa Rais? Ya Mungu mengi. Uwezi jua. Siku moja tunampata Rais toka nje ya baraza la Mawaziri. Tunawatu wapo wanasifa. Anaweza tokea Bungeni, akatokea katika wakuu wa Mikoa, au Akatokea katika Mabalozi na kadhalika.
Shida uteuzi wa viongozi sikuhizi, daaah! Hata sielewi, umekuwa wa kufurahishana na si uwezo wa mtu, uzoefu na utendaji kazi. Kwa sasa Tunaandaa viongozi wabovu zaidi uliko miaka ya nyuma.
Zamani DC kweli ni DC, Mkuu wa Mkoa kweli ni RC, Balozi kweli ni balozi. Sidhani kama hata vetting inafanywa kisawasawa. Na viongozi hawako serious kutatua kero za wananchi. Yangu macho....Tanzania yangu nakupenda.
 
madanga01

New Member
Oct 25, 2021
2
45
Namshauri tu kulingana na utamaduni wa CCM inaeleweka wazi baada ya Rais Samia kumaliza muhula wake wa pili 2030 atakayepokea kijiti ni mgombea kutoka kwa Wagalatia.

Hivyo namshauri January akate shauri mapema kama Joshua.

Mungu wa mbinguni awabariki sana.
 
madanga01

New Member
Oct 25, 2021
2
45
Kwani tulijua mama Samia atakuwa Rais? Ya Mungu mengi. Uwezi jua. Siku moja tunampata Rais toka nje ya baraza la Mawaziri. Tunawatu wapo wanasifa. Anaweza tokea Bungeni, akatokea katika wakuu wa Mikoa, au Akatokea katika Mabalozi na kadhalika.
Shida uteuzi wa viongozi sikuhizi, daaah! Hata sielewi, umekuwa wa kufurahishana na si uwezo wa mtu, uzoefu na utendaji kazi. Kwa sasa Tunaandaa viongozi wabovu zaidi uliko miaka ya nyuma.
Zamani DC kweli ni DC, Mkuu wa Mkoa kweli ni RC, Balozi kweli ni balozi. Sidhani kama hata vetting inafanywa kisawasawa. Na viongozi hawako serious kutatua kero za wananchi. Yangu macho....Tanzania yangu nakupenda.
Rais Samia yatakiwa amuondoshe January kutoka katika wizara nishati. Badala yake angempa nafasi Profesa Palamagamba.

Serikali imejaa watu wanaofikiriya watatumiya njiya gani kuiba mali za uma. Tatizo la sisi watanzania hasa mawaziri na wasomi wetu hawakosowi au kuzungumza ukweli ikiwa waziri anakoseya. Hata mwezi hajamaliza amesafiri nje nchi tatu kwenda kufanya mazungumzo ya kununuwa mafuta. Mbona hakuna uwazi nini alicho zungumza na nchi watanufaika na nini. Meneja wa Tanesco anatiya mkataba na kampuni inayoitwa Tech Mahendra Africa wenye thamani za dolar milioni 30. learning mkataba usipitiwe na kuchunguzwa na ProfesaPalamagamba. kweli hiyo Wahondi wanafanya ni ya thamani za dolar milioni 30. tumerudi zile ezi za kuibiwa pesa na mkataba ovyo.
January Makamba na to my yakebwanafanya mazungumzo na wekezaji wa gesi wenye thamani ya dolar bikini 30. ana ujuzi gani huyo bwana mdogo waziri wa kufanya mazungumzo na katika to my yake kwa nini Profess Palamagamba hayumo. Watatuleteya mijatabu mibovu ya kututiya hasara na isiyokuwa na faida na watanzania.
Hatujasahau hasara na vile watanzania mali zetu zilivyoporwa na Serikali ya ayamu ya tatu na ya nne. mashirika yalibinafishwa, mchanga wa Dhabi ilikuwa unaibwa bila ya watu kulipa kodi.
Tanzania ina rasli mali nyingi ambazo inaweza kubadilisha maisha ya wanachi.
Angalieni Botswana walivyonufaika na Almasi zawo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom