Kama Itikadi sio sababu ya wewe kujiunga chadema, Jiunge kwa fasheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama Itikadi sio sababu ya wewe kujiunga chadema, Jiunge kwa fasheni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Uswe, Apr 17, 2011.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CHADEMA ndio style mpya, Ni kweli pia kwamba chadema ni chama makini, lakini chadema si chama makini kwa watu makini tu ila kwa watu wote.

  Watu makini wote wako CHADEMA, kama nawe ni makini chukua kadi yako leo, lakini kama si makini sana kwa mambo ya siasa, usihofu chukua tu kadi yako bse CHADEMA ndio style ya kisasa, wajanja wote wako chadema, kuwa ccm ni sawasawa na kuvaa chachacha au vip wakati sandals na boxer za maana zipo
   
 2. F

  FredKavishe Verified User

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nimeipenda hii kadude ka thanks sikaon
   
 3. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Chadema ni makini, waendelee na umakini huu.
   
 4. U

  Uswe JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  hahahaaa oya MODs rudesheni kale katufe nigongewe thanks na Majanikv
   
Loading...