Kama ingekuwa kila wiki ripoti ya CAG inatoka basi tungeacha ushabiki na kutaka mabadiliko ya katiba

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
Hapa na zungumzia katiba kwa hizi sera za chama tawala ambacho kinazunguka zunguka kudai tufanye maendeleo wakati yalisha washinda tokea kupata kwa uhuru asilimia kubwa.

Maendeleo yanakuja na mifumo mizuri ambayo inaongozwa na katiba na sio haya ambayo kila siku madudu kwenye ripoti ya CAG akitoa.

Hii inaonyesha kuwa ubovu wa serikali yetu ni mambo ambayo wameshindwa wenyewe na bado wanazidi kujiwekea kinga kubaki madarakani.

Yani kiufupi naumia sana kusikia deni limekuwa asilimi 13.7.

Je haya matozo na makodi chungu mzima ni ya kitu gani.

jana mnataka pesa za NGO ziingie serikali.

kuna kauli moja ."ukiona mtu wa mwisho ambaye ni maskini kaanza kuuliza serikali na kuoji basi tambua ndio anguko lenu"
 
Back
Top Bottom