akashube
JF-Expert Member
- Dec 24, 2009
- 401
- 23
Kutoka ndani ya CCM kuna habari kuwa viongozi fulani wazito wamejiandaa wakishirikiana na JK kuhakikisha kuwa dola inarudi kwa 'network members'. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na ushindi wa kifisadi 2015.
Yaliyomo kwenye mpango huo ni pamoja na mchemsho huu hapa;
Spika wa Bunge - Andrew Chenge
Waziri wa mambo ya ndani - January Makamba
Waziri wa Fedha na Uchumi - Rostam Aziz.
Katibu Mkuu CCM 2012 - Abdulrahman Kinana.
Bado mjadala unaendelea kuhusu E. Lowasa, wanafikiria kumpa shavu nene.
Pia kuna maandalizi ya kupanga mkakati mzito kuanzia Januari mwakani ili kusambaratisha kabisa vyama vya CHADEMA na CUF.
Kama ni uzushi kwa nini umesoma???