Kama huu ni Uzushi usisome!!

akashube

JF-Expert Member
Dec 24, 2009
401
23
Kutoka ndani ya CCM kuna habari kuwa viongozi fulani wazito wamejiandaa wakishirikiana na JK kuhakikisha kuwa dola inarudi kwa 'network members'. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na ushindi wa kifisadi 2015.

Yaliyomo kwenye mpango huo ni pamoja na mchemsho huu hapa;

Spika wa Bunge - Andrew Chenge

Waziri wa mambo ya ndani - January Makamba

Waziri wa Fedha na Uchumi - Rostam Aziz.

Katibu Mkuu CCM 2012 - Abdulrahman Kinana.

Bado mjadala unaendelea kuhusu E. Lowasa, wanafikiria kumpa shavu nene.

Pia kuna maandalizi ya kupanga mkakati mzito kuanzia Januari mwakani ili kusambaratisha kabisa vyama vya CHADEMA na CUF.

Kama ni uzushi kwa nini umesoma???
 
Mbona unajihami? hujiamini mpwa? haya usiku mwema tusubiri kupambazuke waanze kukujibu!! ila to me, whatever the move CCM is doing, means nothing to me
 
Mbona unajihami? hujiamini mpwa? haya usiku mwema tusubiri kupambazuke waanze kukujibu!! ila to me, whatever the move CCM is doing, means nothing to me

Mkuu Mtego wa panya huo. Utaona watakavyonasa, akina msg, mkm,oic, mwukm na wengineo.

Kama najihami vile....kumbe najiamini, kama naogopa vile.....kumbe naogofya.
 
Duh, sijui kwanini nimesoma? Rostam Aziz waziri wa nini...?? Nina hasira, maana naona haya yote yanawezekana. Kama leo TAKUKURU imejitokeza hadharani kumsafisha Chenge kwamba hakuwahi kuwa na kashifa ya Rushwa, sioni kitakachozuia Rostam asiwe waziri.
 
nakuambia sasa alkaida naona tutachukua mkono wetu kama ni hivo basi kama mbwahi mbwahi
Conquest-mvua ya mawe nyumba ya vioo:nono:
 
hii sio uzushi.......unaweza ukawa right...wanafanya wanalotaka si kila kitu kipo mikononi mwaO
 
Kutoka ndani ya CCM kuna habari kuwa viongozi fulani wazito wamejiandaa wakishirikiana na JK kuhakikisha kuwa dola inarudi kwa 'network members'. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na ushindi wa kifisadi 2015.

Yaliyomo kwenye mpango huo ni pamoja na mchemsho huu hapa;

Spika wa Bunge - Andrew Chenge

Waziri wa mambo ya ndani - January Makamba

Waziri wa Fedha na Uchumi - Rostam Aziz.

Katibu Mkuu CCM 2012 - Abdulrahman Kinana.

Bado mjadala unaendelea kuhusu E. Lowasa, wanafikiria kumpa shavu nene.

Pia kuna maandalizi ya kupanga mkakati mzito kuanzia Januari mwakani ili kusambaratisha kabisa vyama vya CHADEMA na CUF.

Kama ni uzushi kwa nini umesoma???
umejihami sana na hii ni doubt kubwa kwa unayoyasema
 
mkuu naamini hiyo kitu. ila ninahisi wanamtumia chenge tu hapo. kuna kiumbe wao atakayepitishwa tutashangaa
 
Hawa watu wanatia hasira sana. Cna tabia ya kumtakia mtu mabaya ila kwa udhalimu huu i wish them all the worst.

Inaniumiza sanaa kila nikifikiria tanzania ilivyotawaliwa na watu wenye tamaa zaidi ya fisi.
 
Kutoka ndani ya CCM kuna habari kuwa viongozi fulani wazito wamejiandaa wakishirikiana na JK kuhakikisha kuwa dola inarudi kwa 'network members'. Hii ni kwa ajili ya kujiandaa na ushindi wa kifisadi 2015.

Yaliyomo kwenye mpango huo ni pamoja na mchemsho huu hapa;

Spika wa Bunge - Andrew Chenge

Waziri wa mambo ya ndani - January Makamba

Waziri wa Fedha na Uchumi - Rostam Aziz.

Katibu Mkuu CCM 2012 - Abdulrahman Kinana.

Bado mjadala unaendelea kuhusu E. Lowasa, wanafikiria kumpa shavu nene.

Pia kuna maandalizi ya kupanga mkakati mzito kuanzia Januari mwakani ili kusambaratisha kabisa vyama vya CHADEMA na CUF.

Kama ni uzushi kwa nini umesoma???

coreeeeeeeeeeeect
 
EL waziri mkuu

Kwa jinsi EL alivyonikinahi na Pinda alivyoudhi watu pale Sumbawanga baada ya kwenda (akitokea porini Mpanda) kulazimisha m-ccm kutangazwa ubunge ilhali alijua ameshindwa. Bora U-pm apewe mwanamke tu.
 
ndugu ukitaka sisim ife ijaribu huo upuuzi itakuwa imejichimbia kaburi,wananchi wa sasa wanafahamu nini kinaendelea na wanahasira na sisiem,hivyo kwetu ni furaha kwani njia ya kuishika nchi 2015 hiyoooo inakuja,safiiiiiii sisiem mwekeni chenge na rostamu ili mfanye madudu na tuichukue tz
MAPINDUZIIIIIIII DAIMAAAAAA
 
Inawezekana kabisa sasa hivi TAKUKURU wanasema chenge hajawahi kula rushwa,kwa maana hiyo anafaa kuwa spika,jmani huu ni mkakati mzito wa kuhakikisha richmond inagombea urais 2015, na ukiangalia team nzima ni ile ilijeruhiwa kipindi kile, mi sina shida na hili ila nawalaumu sana watu moro,mtwara, tanga,dodoma na sehemu zingine walioamua kuipitisha sisemi ilihali wapo kwenye lindi la umasikini wa kutisha,sas wasubiri kilio na kusaga meno
 
Inatisha kwei kwei ! Hawa watu ni noma mbaya kabisa! Hivi why can't this Presida scrap of this TAKUKURU and do away with shame! Hivi Watanzania ni wajinga kiasi hicho, mtu ana Acct New Jesy Island ya Million of USD's $ 2,000,000?Hakuna mkakati wa kudai zirudishwe?
Aliajiliwa na Company gani akalipwa fedha hizo, unahitaji ushahidi gani ujue kuwa hiyo ni rushwa? Na sio huyo alone maana anadai kuwa hivyo ni visenti. So these guys are many starched monies in forein ACCT's. This whole system is totaly rotten,amendmets cant help. We need a total overhaul of this rotten system. Tujipange kungoa huu uozo maana hii nchi si ya wezi na wanyanganyi, wasio na aibu usoni!
 
Back
Top Bottom