Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

KWELI ELIMU KAUMBIWA MZUNGU,YANI KUSOMA MNAONA KUPOTEZA MUDA?DEGREE MNAONA KAMA MAEMBE KISA AJIRA NGUMU.

POLENI WATZ,MZIGO WA UMASKINI UMETUELEMEA SANA KILA TUKITAFUTA PAKUTULIA TUNAKOSA TUNABAKI KUTAPATAPA
 
Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
Mbona famasia hujataja hapo au nayo wanauza sura mtaan?
 
UKISOMA LAW UNAENDA LAW SCHOOL, UKIPATA MUHURI HAKIKA HAUWEZI KULALA NJAA, JAPO WENGI WANASHINDWA KUGEUZA MUHURI KUWA PESA.
 
KWELI ELIMU KAUMBIWA MZUNGU,YANI KUSOMA MNAONA KUPOTEZA MUDA?DEGREE MNAONA KAMA MAEMBE KISA AJIRA NGUMU.

POLENI WATZ,MZIGO WA UMASKINI UMETUELEMEA SANA KILA TUKITAFUTA PAKUTULIA TUNAKOSA TUNABAKI KUTAPATAPA
hatar xana mtu una bachelor yako lkn maisha magumu île mbaya.jamaa hatoi ajira anasema mjiajiri Mungu aingilie kati hii n tz ya viwanda kwel
 
biashara na kipaj ndio kila kitu. Ni wenye vipaj na wafanya biashara ndio hufanikiwa zaid, wasomi ni watu wa heshima na misifa teeeeele lakin ni watu wa kawaida sana kiuchumi, maisha yao ni kumudu gharama ndogondogo za kimaisha lakin kubwa haweziwez, sometimes huwa wanalazimika kukopa tu na weng wao hata wake zao ni watu wanaojishughulisha, kutegemewa na wake zao kwa kila kitu kama llilivyo kwa wafanyabiashara kwao ni mzigo mkubwa sana.
Ukisema wasomi hawawezi kumudu gharama kubwa uwe unawa categorize,Beno ndulu Kimei ni wasomi gharama gani haiwezi,Mkurugugenzi wa TPA,TRA,Voda na makampuni mengine makubwa
 
nyinyi lmv mnasifiaga tu, hamna lolote, et kwa vile mnadisco sana mkazani ajira ndio zipo, kwanza lmv huwez kujiajiri
...... Hapana bhn huo uongo mkubwa sana LMV unajiajiri vzr saana mfano dingi kajiajiri na kasoma LMV..... ni nyie tuh na fikra zenu na watu kibao waliosoma LMV na wapo mjini wanadunda tuh
 
Hahahahahha uzi huu wa kitambo sana ila now days apa kitaa kuna watu wamesoma udaktari, engineering , ualimu ndo wamejaa no ajira mtoa mada unalizungumziaje hili wa tz tubadilike mtaani kunaitaji zaidi ya degree akiri ya shule ni tofauti na mtaa inovation inaitajika tengeneza ajira usitafute ajira (leo sio jana)
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom