Mjapan 390
Member
- Apr 28, 2018
- 5
- 0
Kubishana na watoto $ wasiojielewa ni shida kwelkwelWeee mwehu kweikwei
Kubishana na watoto $ wasiojielewa ni shida kwelkwelWeee mwehu kweikwei
Daaahh ni hatari sanaHizi Ni Kozi Ambazo Utasoma Ila Inategemea Unajuana Na Nani.Wengi Wasoma Hapa Udom Na Wakimaliza Wanazurura Kitaa Sana.jamaa angu ana miaka 3 hana kazi anakula ugali wa mama yake.
Mbona famasia hujataja hapo au nayo wanauza sura mtaan?Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
Kama rais tu hatak kwenda nje ww usome diplomasia halaf??diplomasia je?
hatar xana mtu una bachelor yako lkn maisha magumu île mbaya.jamaa hatoi ajira anasema mjiajiri Mungu aingilie kati hii n tz ya viwanda kwelKWELI ELIMU KAUMBIWA MZUNGU,YANI KUSOMA MNAONA KUPOTEZA MUDA?DEGREE MNAONA KAMA MAEMBE KISA AJIRA NGUMU.
POLENI WATZ,MZIGO WA UMASKINI UMETUELEMEA SANA KILA TUKITAFUTA PAKUTULIA TUNAKOSA TUNABAKI KUTAPATAPA
Ukisema wasomi hawawezi kumudu gharama kubwa uwe unawa categorize,Beno ndulu Kimei ni wasomi gharama gani haiwezi,Mkurugugenzi wa TPA,TRA,Voda na makampuni mengine makubwabiashara na kipaj ndio kila kitu. Ni wenye vipaj na wafanya biashara ndio hufanikiwa zaid, wasomi ni watu wa heshima na misifa teeeeele lakin ni watu wa kawaida sana kiuchumi, maisha yao ni kumudu gharama ndogondogo za kimaisha lakin kubwa haweziwez, sometimes huwa wanalazimika kukopa tu na weng wao hata wake zao ni watu wanaojishughulisha, kutegemewa na wake zao kwa kila kitu kama llilivyo kwa wafanyabiashara kwao ni mzigo mkubwa sana.
Kumbeee ehmleta mada ww sindo uliomba ushauri wanafunzi wako awaelewi leo umeleta mpya
...... Hapana bhn huo uongo mkubwa sana LMV unajiajiri vzr saana mfano dingi kajiajiri na kasoma LMV..... ni nyie tuh na fikra zenu na watu kibao waliosoma LMV na wapo mjini wanadunda tuhnyinyi lmv mnasifiaga tu, hamna lolote, et kwa vile mnadisco sana mkazani ajira ndio zipo, kwanza lmv huwez kujiajiri
Well saidMaarifa mwisho form 4,ukiona mtu anaendelea ujue anataka ajiriwa.
INAKUSAIDIA KUULIZA MASWALI MAGUMU KWA VIONGOZI WANAOTMBELEA KIJIJIMaarifa Ya Kusoma Law Yanakusaidiaje Kule Kijijini Kwenu??
Ufungue chama cha siasaMfano Umesoma Political Science Utajiajirije?
Kubishana na wanakijijiMaarifa Ya Kusoma Law Yanakusaidiaje Kule Kijijini Kwenu??