Kama hutasoma kozi hizi unapoteza muda wako

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,001
Mnaoenda vyuo vikuu mwaka huu kama hutasoma kozi hizi kwa Tanzania yetu imekula kwako. Mnaoenda kusomea Political Science, laws, wote mnapoteza muda wenu ajira hakuna. Kozi hizi ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi wa aina zote, kilimo kwanza tu, hatuna shida na wahasibu,wanasheria wanatosha,wasanii wa Social Sciences hatuna shida nao.
 
Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.

diplomasia je?
 
Umenikumbusha ndugu yangu mmoja wakati nasoma chuo alikuwa anaponda mnasoma makozi gani magumu mnazeeka. Amechoka sijui Kama huko ofisini kwake wanamlipa mshahara!

Mtoa mada, shule tunaenda kufuta ujinga na kujifunza approach mbalimbali towards life challenges. Acha kukremisha. Maisha ya kitaa hayana sylabus
 
Mnaoenda Vyuo Vikuu Mwaka Huu Kama Hutasoma Kozi Hizi Kwa Tanzania Yetu Imekula Kwako.Mnaoenda kusomea Political Science,laws,wote Mnapoteza Mda Wenu Ajira Hakuna.Kozi Hizi Ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi Wa Aina Zote,kilimo Kwanza Tu,hatuna Shida Na Wahasibu,wanasheria Wanatosha,wasanii Wa Social Sciences Hatuna Shida Nao.
Kila kozi ina watu wafuatao..
1. Wasio na kazi za kuajiliwa na kujiajili,
2. Wenye kazi za kuajiliwa na kujiajili
3. Waliofulia
4. Walibutua
5. Waliofeli
6. Waliofaulu

Kwa hiyo mtazamo wako utategemea tu unamfanyia refference nani kati ya hao niliowataja hapo
 
mi naona mtoa mada kasema ukweli kwani kwasas kama unatoka family ya kimaskini soma koz ambazo mtoa mada amesema kuna rafiki yangu kamaliza law hadi leo kakosa direction mwishkwe kaamua kuwa askari na mwaka huu ndo anamaliza. kwa hivyo tusibishe tu alafu baadae mkajuta yangu ni hayo tu
 
Kati ya kozi zote tajwa hapo juu bado sijaona ya kufananisha na lmv(land management and valuation) ya ardhi au architecture...

Hizi Unapatakazi Za Mikataba.Na Pia Watumishi Hawa Serikali Inawahitaji Sana.Huwezi Ukaifananisha Na Law Au Pspa Na Mazagazaga Yote Ya Social Sciences
 
Back
Top Bottom