BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 5,818
- 11,001
Mnaoenda vyuo vikuu mwaka huu kama hutasoma kozi hizi kwa Tanzania yetu imekula kwako. Mnaoenda kusomea Political Science, laws, wote mnapoteza muda wenu ajira hakuna. Kozi hizi ndio Marketable. Udaktari,ualimu,uhandisi wa aina zote, kilimo kwanza tu, hatuna shida na wahasibu,wanasheria wanatosha,wasanii wa Social Sciences hatuna shida nao.