Kama hupandishi mishahara ili kubana matumizi,ondoa basi na mashangingi serikalini

Kwanza siamini kuwa huongezi mishahara kama mbinu ya kupana matumizi bali naamini hali ni mbaya na sasa unashindwa kuongeza mishahara na hata mwakani pia hutaweza maana hali inaweza kuwa mbaya zaidi na sitashangaa hata usiposhiriki sherehe za Mei Mosi za mwakani maana sioni utasema nini tena.

Hata hivyo,kama kweli umeamua kubana matumizi kwa kutoongeza mishahara ya watumishi,basi ondoa na mashangingi serikalini ambayo kwa sasa yamezagaa Dodoma utadhani Japan imehamia Bongo huku baadhi ya mashangingi haya mengine yakiwa busy siku za week-end kwenye mabaa na sehemu nyinginezo.

Pia tunakuomba upunguze na misafara yako.

Kila mtu aguswe na si watumishi tu.

Charity begins at home na kuongoza ni kuonyesha njia/mfano.
Msafara wa Mbeya ni zaidi ya magari 70 !
 
Akili ninazo na ndio maana naona Raisi anajua vipaumbele vya mtanzania kwa sasa hasa walio wengi kua sio nyongeza ya mshahara kwa watu wacheche kwani hiyo SGR watapanda hata wasio na kazi na hata ww unaelilia mshahara..kwahiyo aache kujenga reli akuongeze mshahara?? Ww ndio una akili?? Hahaaaaa acha kazi kama mshahara haukutoshi

Kwanini usikubali tu ya kwamba dishi limeyumba! Yaani watu wanakuambia huna akili halafu wewe umeamua tu kukaza shingo! eti "akili ninazo" Ungekuwa una akili timamu ungetetea ujinga?

Mbona katika awamu ya Kikwete kila kitu kilifanyika na hakukuwepo na visingizio vya kijinga? Au umezaliwa 2016? Hivi utapata vipi msaada wa matibabu ya haraka ili urudie hali yako ya kawaida iwapo utaendelea kuwa mkaidi namna hii?
 
Ungekuwa na akili ungemshangaa alieahidi masilahi bora kwa watumishi mwaka 2015 na sasa amekuja na visingizio lukuki kuanzia uhakiki na haya anayoendelea kuyasema leo hii.
- MeiMosi2019.jpg
 
Kwanza siamini kuwa huongezi mishahara kama mbinu ya kupana matumizi bali naamini hali ni mbaya na sasa unashindwa kuongeza mishahara na hata mwakani pia hutaweza maana hali inaweza kuwa mbaya zaidi na sitashangaa hata usiposhiriki sherehe za Mei Mosi za mwakani maana sioni utasema nini tena.

Hata hivyo,kama kweli umeamua kubana matumizi kwa kutoongeza mishahara ya watumishi,basi ondoa na mashangingi serikalini ambayo kwa sasa yamezagaa Dodoma utadhani Japan imehamia Bongo huku baadhi ya mashangingi haya mengine yakiwa busy siku za week-end kwenye mabaa na sehemu nyinginezo.

Pia tunakuomba upunguze na misafara yako.

Kila mtu aguswe na si watumishi tu.

Charity begins at home na kuongoza ni kuonyesha njia/mfano.

Hivi kulikuwa na haja gani ya kuadhimisha hii sikukuu? Hivi ni mabilioni mangapi yanateketea kwenye maandalizi ya hizi sherehe?
Magufuli amekaa mbeya siku ngapi? Ziara aisizo na tija zimeteketea bilioni ngapi kwa safari ya Mbeya siku zote hizo?
Mbona mikoa mengine anapita tuu siku moja au mbili.

Hizo anasa zote na kwenda kuwaweka watu juani siku nzima na kuwaimbia ngonjera zile zile kila mwaka, bora angeahirisha tu na kusitisha ziara zake zisizo na tija. Hao wafanyakazi hata angesema waongezewe 3% walau ingepoza maumivu.
 
Huyu bwana hajali maisha ya watu wakiwemo watumishi bali anajali maendeleo ya vitu hata kama hivyo vitu havina faida kwa Taifa mradi tu aonekane amewaza kufanya jambo kubwa kama kununua hizo ndege,n.k.
 
Misuse of taxpayers’ money

Kwanza siamini kuwa huongezi mishahara kama mbinu ya kupana matumizi bali naamini hali ni mbaya na sasa unashindwa kuongeza mishahara na hata mwakani pia hutaweza maana hali inaweza kuwa mbaya zaidi na sitashangaa hata usiposhiriki sherehe za Mei Mosi za mwakani maana sioni utasema nini tena.

Hata hivyo,kama kweli umeamua kubana matumizi kwa kutoongeza mishahara ya watumishi,basi ondoa na mashangingi serikalini ambayo kwa sasa yamezagaa Dodoma utadhani Japan imehamia Bongo huku baadhi ya mashangingi haya mengine yakiwa busy siku za week-end kwenye mabaa na sehemu nyinginezo.

Pia tunakuomba upunguze na misafara yako.

Kila mtu aguswe na si watumishi tu.

Charity begins at home na kuongoza ni kuonyesha njia/mfano.
 
Attachments

  • AD34AA6B-5650-4B7C-BBF2-CB9E90872929.MP4
    2.2 MB
Kweli kabisa mkuu.hii ni nchi ya kwetu wote sasa inakuwaje wengine wapate ajira na wengine wakose.nakuunga mkono mkuu Mheshimiwa aweke ajira ya mkataba.kila MTU aajiriwe ili aweze kusanya mtaji nakuanzisha biashara
 
Hivi kulikuwa na haja gani ya kuadhimisha hii sikukuu? Hivi ni mabilioni mangapi yanateketea kwenye maandalizi ya hizi sherehe?
Magufuli amekaa mbeya siku ngapi? Ziara aisizo na tija zimeteketea bilioni ngapi kwa safari ya Mbeya siku zote hizo?
Mbona mikoa mengine anapita tuu siku moja au mbili.
Hizo anasa zote na kwenda kuwaweka watu juani siku nzima na kuwaimbia ngonjera zile zile kila mwaka, bora angeahirisha tu na kusitisha ziara zake zisizo na tija. Hao wafanyakazi hata angesema waongezewe 3% walau ingepoza maumivu.
ωeee ωαcнα ωιvυ мĸυυ, υlιтαĸαα αĸαe мĸoαnι ĸωenυ
 
Usipanick hata mm nikienda kusoma ww mshahara huo huo hahaaa ulijiandaa kuolewa nn hahaaa hakuna kuongeza salary hapa hahaa

huwa inaandikwa Raisi..anza na herufi kubwa panyabuku wewe..eti rais..😏😏😏! mm ww nauwezo wa kukulisha kbs na kukuvisha
 
Wanavyeti wanashindwa kubuni hata kutengeneza taili za bajaji? Degree gani hizo hizo wanazopata vijana?
Hahaha tatizo uoga mkuu,,bongo kuna wahitimu wengi wa vyuo vikuu lakini sio wasomi
fikra zetu ni kuajiriwa tu ndio tatizo liko hapo
kuna jamaa angu alikuw mhandisi Tanroads mshahara 1m per month kaacha kaz serikalini kajiajiri

kuna mwingine alikuw mhandisi wa madini Barrick buzwagi kahama walikuw wanamlipa laki nane per month kafanya kaz 2yrs kaacha kaz ya kuajiliwa now ana biashara zake anatengeneza zaidi ya 10m per month

"Kulalamika ni matumizi mabaya ya muda"

Mtu hata kama atalipwa mshahara wa milioni kumi kwa mwezi lakini kama akili yake haina uwezo wa kuleta impact katika jamii atalalamika tena mshahara hautoshi.
 
Back
Top Bottom