Kama huna wazo la kuoa usithubutu kuoa!(((ati watolewa nuksi))! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama huna wazo la kuoa usithubutu kuoa!(((ati watolewa nuksi))!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Feb 4, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,171
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Najua wengi mnajiuliza na maana Gani,..ni kweli wapo vijana wengi leo hii wamebadili ndoa kama vazi la kitenge ukichoka unaamua kuvua...nasema kwa wale waliokuwa bado naomba kama aupo tayari kuoa ama kuolewa usithubuu kabisa..unajiuliza kwa nini hili jamaa ninasema hivi

  Laana ya mweisho kwenye ndoa ni KIFO..Kwa kukumbushana tu wale mnaochezea ndoa zenu yawezekan unazini mkeo ajui na unaona sawa starehe..leo hii kumbuka ulichosema utakuwa nae kwenye shida na raha mpaka.....KIFO...mwisho wa ndoa ni kifo kutututengenisha..wewe uliesema ujaribu na baada ya mwezi unaamua kumsulubu mwenzako nakueleza wazi kifo kinakutamani

  Unaweza ukawa ukatamani kuoa ama kuzini lakini ukuwa na wazo la kuzini..huwa nafundishaga ukiwa unaomba kutoka kwenye umaskin USIOMBE HELA...omba mungu akupue wazo ama chanzo cha kupata hizo hela..same to ndoa unaweza kuwa huna wazo la ndoa ukasema mmh haka kabinti ngoja nikachakachue nitoe nuksi ya ndoa..same to mabinti maada wengi wanaolewa ama kulazimisha kuolewa kwa ajili ya kutoa nuksi ya kuolewa ama kulinhanisha na marafiki zake ama kweli yeye kwao akuna alieolewa na mijidada yake yote inaitwa mijimama na mitoto imejazna nyumban kedekede..

  Na MUNGU Alie hai atowaacha wale wote wanaocheza na mdhabahu..ujui miili yenu ni madhabahu ya bwana iweje mnayachezea hivi..leo hii nakujulisha kama uajiriwapo ujue na utastaafu lini same ukiwa unafunga ndoa na kujigunga nira pale kanisan jua mwisho wake ni KIFO...na kwa heshima nasema MUNGU aiwaache achape kiboko wale wote wanaoamua kuoa ama kuolewa kutolea nuksi

  MHIFADHIWE WAPENDWA
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,171
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  sheria ya nchi iko wazi akatizae uhai wa mtu sharti anyongwe..wewe ulieamua kumuacha mwenzi utokuwa tofauti na muuwaji..kumbuka cha kuwatengansha ni KIFO so kama umeamua kukatiza uhai wa mwenzio Mungu akushsuhie tu dhahama ya KIFO na hilo wala sina shida nalo...
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  amen
   
 4. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Acha kupotosha watu pasipo kuwa na data za kueleweka zaidi ya hisia ni wapi ulisikia kuwa ndoa zimevunjika nyingi au ni kwa wachtache unaowajua waache watu watimize malengo yao ya kuoa.Ndoa ni jambo linalompendeza Mungu na huleta baraka we unawaambia watu wasioe so unataka wazini au maana hiyo ni dhambi kwa Mungu na pia huleta maafa ya UKIMWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,171
  Likes Received: 5,594
  Trophy Points: 280
  Sikatai mawazoyako il soma tena elewa ninamaanagani..ndiomaana kulikuwa na vidudu ikaja chekechea sasa academy..yote haya ni shule za awali...akuna alisema watu wasioe nisaidie yawezekana kiswahli kwangu shda..nilichosema kama una mpango wa kuoa na kuachana bora usioe...ama usiolewe na hili nasema tena....embu rudia tena kusoma mpendwa na mungu akubariki
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Amina:A S 39:!!
   
Loading...