Kama huna hela Usikubali kuvuka miaka 35 bila kuoa au kuwa na mtoto

Kwa wanawake wanaofika 35 year's bado hawajaolewa karibia wote kuanzia Age ya 27 hadi 32 wanakuwa tiyali wameshazalishwa hivyo kama utakuwa Age ya 35 unaanzisha uhusiano nae unaanzisha uhusiano na single mother
Sio kweli
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama.

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na nani uzee wako umalizie na nani ushachakaa tayali.

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au oa.
Life begin at 50+ hiyo 35 is just assumptions. Tafuta pesa wanawake wazuri wapo wengi wala hakuna familia itakayosema nyau, unafikiri Bill gate akija kwenu au dangote kuchumbia Dada yako wa miaka 25 utasema hapana au baba yako.kuoa mapema ni kujitakia umasikini tu itahangaika na vitoto Karo,kula shida mpaka unazeeka tu. Inakuwa chains of poverty kwenye familia zenu.
 
Attachments

  • VID-20210523-WA0125.mp4
    15.5 MB
Wanaona wazee wa miaka 50 tena binti miaka 20 hadi 25, sasa unazungumzia miaka 36 bado baby kabisa.

Fatilia kipindi cha Chereko Tbc kama bado kipo asilimia 90 wanao oa ni 40 above na si kuwa wale wote wameshazaa.

NB. kupanga ni kuchagua kila mtu afuate maisha yake.
kwa mwaandishi point yake zingatia kigezo cha hela
 
Mie nimeona last week binti ana miaka 24 Mimi nina miaka 40 tuna watoto 2,,,wewe ni she???kama ndio Basi umekwama mahali,hahaaaaa,kakangu ameoa na miaka 45 binti wa miaka 23
Watu wengi unaona wanaoa at the age of 40 years and above broo wengi wao wanachofanya ni kubaliki tuu ndoa ila walishazaa kitambo Sana lakini ww at the age 40 ndo unataka kuoa je utamuoa nani,???

Ni binti wa miaka mingapi atakukubalia umuoe umemzidi miaka zaidi ya 20 au 15
 
Narudia tena ewee kijana wa kiume fanya ufanyavyo usije kuvuka miaka 35 bila kuoa au kama haujaowa basi uwe na mtoto kwani kwa umri huu kwa mwanaume jua ndo linaelekea magharibi kuelekea kuzama.

Mbaya zaidi katika huo umri ukishavuka ndio umri vijana wengi wa kiume wanakataliwa na wanawake ambao wanachipukia wanakuona wewe ni babu lakini pia hakuna familia itayokukubalia mtoto wao akaolewe na mzee wa miaka 36 ambae wanakuona ujana wako aliuchezea na nani uzee wako umalizie na nani ushachakaa tayali.

Ushauli wangu kwa vijana acheni Story za kujipanga au kumchunguza mpenzi wako unapoteza muda tia mimba au oa.
daah hapo nimepaelewa broo
 
Kama una hela zako kimaisha upo vizuli wanawake wanakuona bado ni kijana lakini kama una 36 huna hela and above Basi unaingia ktk kundi la wazee alafu pia ukumbuke ni mwanamke wa umri Gani atakubali kuwa na ww aache kijana mwenzake
Dada una stress usiwaze utaolewa tu
 
Dogo kama mambo haujui uwe unauliza basi. Mimi pia nilikuwa najua kama wewe. Hivi unajua vibinti vya miaka 19 hadi 25+ huwa vinapenda kutoka na watu wa rika gani?!

Kuwa hata unatoka toka hudhuria hata kanisani.
Mwambie huyo
 
Kweli bana na nilishawahi kumwambiaga demu wangu mmoja baada ya kuniletea usumbufu na kauli za shombo when i was dead broke!

Nikamwambia kauli mithili ya hio kuwa “Unanidharau sababu sina hela sasa ila jua inakuja anytime wala sina presha na hilo na utaikumbuka hii heshima na mapenzi nayokuonesha ila wewe mashauzi yako ukomo wako ni miaka 30 tu.” Ruka ruka sana ila hapo lazma tutaheshimiana!

Sahizi ni mwendo wa vilio tu na mizinga ya hapa na pale! Jibu ni moja tu anapewa pole sana ndio maisha uliyochagua lakini! Hatuwezi kuwa pamoja tena, was all said and done!
Mzee baba demu akifika 30yrs anakuwaje?
 
Back
Top Bottom