Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 7,621
- 16,372
Ni wa chato eh?
Maana yake ni kukaa kitandani na kuongeaongea kikawaida.๐๐๐Nini maana ya elimu bure?
Huyo huyo๐๐๐๐Jamaa yupi? Au
Uyo dereva wa phonex ?๐คฃ๐
Ahahahaaaa ,natupia salamu pale za rambirambi kwa malima ndelema ,namwambia tukumbukane kupitia CRDBMaana yake ni kukaa kitandani na kuongeaongea kikawaida.๐๐๐
Ni mwaka wa tatu naangalia video ya jamaa ila sijawahi kujua hili aisee๐๐Wakuu, huyo jamaa yuko timamu? Au alivaa uhusika tu??
Pozi la kimakini sana....๐๐๐๐Alivyopoz hapo utasema zimeenea๐๐