Kama hukumu ya RPC inachukua Miaka saba Mahakama angalieni nini cha kufanya tubadilike

BASIASI

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
9,735
5,005
Humu ndani tulikuwa tunaulizia sana mwendelezo wa kesi

Hongeren kwa kutoa maamuzi

Swala langu kama mh rpc anauliwa mahakama inachukua miaka almost saba sembuse watu wa kawaida

Nauliza haya kwakuwa kuna walioachiwa huru je hao ndan ya miaka saba wanalipwa ama familia zao zimetesekaje mpaka leo

Mungu awatangulie awaongoze tuwe tunatoa hukumu mapema na wenye haki wapate hakiyao mapema

Naamini tumepata jaji kiongozi imara mwenye uchungu na haki za wananchi atalifanyia kazi hili
Mbarikiwe
 
Mimi nimeapa hata nikute mtu kapigwa kalala hapo ama kafa sitoi taarifa polisi napita na zangu mtu unaacha kufanya mambo yako unashikiliwa uisaidie polisi na usishangae ukakaa ndani kidogo baadae unaachiwa huna hatia!
 
Ujakutanaaa na damuyakoo uliezaliwa naee amelala hapoo utaniambia kama ujaita rubber ama bolt wwee
 
Mkuu
Tueleze vizuri hilo tukio
 
Achana na mambo ya kwenye muvi. Katika maisha halisi kesi za mahakamani zinachukua muda mkubwa. Kesi ya kuchukua muda mdogo hakuna.

Kazi ya mahakama ni kuhukumu without reasonable doubt. Msisitizo hapo kwenye 'Reasonable Doubt' kuharakisha kukizalisha doubts matokeo yake ni mtu kutotendewa haki.

Kuna Discovery, Preliminay hearings, kuuwasilisha ushahidi kwa jaji na mawakili, ukikataliwa mnaanza moja...

Jamani mambo mengine ni kwenye muvi tu.
 
Ujakutanaaa na damuyakoo uliezaliwa naee amelala hapoo utaniambia kama ujaita rubber ama bolt wwee
Damu nzito kuliko maji kwa ajili ya damu yangu nipo tayari kwa lolote sio mtu tu nimkute huko wema wangu unitokee puani naongea kwa hasira sababu nishashuhudia mtu unamdondokea msala hata hajui lolote alikuwa anasaidia tu!
 
Achana na mambo ya kwenye muvi. Katika maisha halisi kesi za mahakamani zinachukua muda mkubwa. Kesi ya kuchukua muda mdogo hakuna.

Kazi ya mahakama ni kuhukumu without reasonable doubt. Msisitizo hapo kwenye 'Reasonable Doubt' kuharakisha kukizalisha doubts matokeo yake ni mtu kutotendewa haki.

Kuna Discovery, Preliminay hearings, kuuwasilisha ushahidi kwa jaji na mawakili, ukikataliwa mnaanza moja...

Jamani mambo mengine ni kwenye muvi tu.
Za upinzani zinakuwaga za mda mfupi tu. Wanaangaliaga
 
Mimi na wewe hatutaelewana ikiwa hapa tuna kesi ya mauaji ila wewe reference yako ni kesi za wapinzani. Hata kama tukiamua kukubali rejea yako...

Kesi ya Sugu ilipelekwa puta na kukaonekana kuna mistrial.

Mbowe, Mdee et al wana kesi iliwaweka rumande ipo nadhani kwa miaka miwili. Kesi yao ya Mkwajuni bado inachanja mbuga.

Kuna wazee wa CUF kesi yao ilikua ni kusema ukishabikia CCM akili zako zimeungana na mshipa wa mavi. Kesi ilichukua muda gani?

Mifano ni mingi...
 
Back
Top Bottom