The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,397
- 9,246
Mimi mpaka sasa nikikaa na wanangu hii kitu tunashindana kucheza.
We acha tu MB ya kujiunga hizoJamaaaa hii jamii forum
Ndio za kujiunga, au wewe huwa unabandika tu?We acha tu MB ya kujiunga hizo
Na ashukuriwe aliyevumbua...nimeelwa ulichokusudia..Jamaaaa hii jamii forum
Furahi na wanao saaana.... tumia uhai wako kwa ukaribu nao, maana wakisha kuwa wakubwa utawamiss!!View attachment 317866
Mimi mpaka sasa nikikaa na wanangu hii kitu tunashindana kucheza.