Kama hukuandika au kuandikiwa barua kama hii,then you know nothing!!!!

dah umenikumbusha nsumba sec miaka hiyo...tuliwaandikia sana watoto wa nganza girls
 
haha kumbe wewe mama watoto da mpe hi Mr bibie kumbe weye shemeji da samahani sana, tatizo hizi identity hazitusaidii kumanya kam wew ni she or he
mmmh ferds hapo kwenye red ndo lugha yako hiyo?
 
Dah, umenikumbusha mbali kinoma, one day ilikamatwa barua ikiwa ready mikononi mwa mdogo wangu kwenda kwa kisukumia umri changu (gf), nilichapwa kweli siku hiyo, kwanza kwa kuanza mapenzi katika umri mdogo lakini pia ilikuwa na broken nyingi kiasi cha kumchefua mdingi!
Dah, kweli tumetoka mbali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom