Kama hujui hesabu za kutoa basi ndio hizi hapa

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,112
2,379
Tanzania

hesabu.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • Screenshot_20191216-111415_Facebook.jpeg
    Screenshot_20191216-111415_Facebook.jpeg
    49.9 KB · Views: 1
Tembo wenye thamani ya shillings Billions 7

Faini Shillings Million 50

Kwani hao tembo(pembe za Ndovu) anarudishiwa ??

Mbona Naona Hakuna tatizo

Naruhusu kukosolewa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaua tembo walioweza kutumika kuingiza pesa kwa kuwaangalia tu kwa wataliii

ila sasa pesa inapatkana kwa Kuuza hizo ndovu tu,wakati tembo huyo huyo angekua hai

angeweza leta pesa za kigeni na zaidi wangezaliana wengine na wengine.


Ni sawa leo hii uuziwe Ng'ombe mwenye UJAUZITO ili umchinje umle nyaama.

Ni mwendawazimu tu atae kubali mchinja yule ng'ombe ila mtu mwenye akili timamu

Atasubiri yule ng'ombe azae kisha ndipo amchinje kama kuna ulazima sana wa kuchinjwa.

Kilichotokea kwa hao TEMBO ni totaly LOSS hamna faida yeyote hapo hata wangetozwa Faini Bil.7
 
Back
Top Bottom