mm1
JF-Expert Member
- Aug 17, 2014
- 569
- 170
Tambua political party ni group la watu wenye common interest (kushika dola).Group lolote lina stage zake za ukuaji,stage ngumu ni hii inaitwa "conflincting stage" Hapa group linafarakana hata kufikia hali ya members wa group kjitoa.Ninachokiongea watu wa comunity developments wananielewa,suala la ukawa na zito hapo awali kutofautiana lilikuwa ni lakawaida,usifikiri watu walifanya utafiti bure katika group formation.Tambua hiyo stage ikipita watu walio sirious huzika tofaut zao na kuendelea kufanya mambo yao in order to achieve their goals.