Kama hujijui wenzio wanakujua! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama hujijui wenzio wanakujua!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safre, Sep 8, 2010.

 1. S

  Safre JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Miongoni mwa taarifa ziliznpo ni ushahidi wa vinasa sauti za mabinti wadogo na waajiriwa wa serikali ni taasisi za umma na ktk ccm wanaokiri kuwa na uhusiano wa ngono na viongoz wakuu.Hii ni habari mojawapo toka mwanahalisi la leo ukurasa wa pili.ccm wanatumia swala la slaa kwenye kampeni zao haya sasa kazi kwao
   
 2. D

  Dopas JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sisiem wameishiwa, nawaunga mkono CHADEMA wasijiingize kwenye siasa hizo za vyumbani. Tunasema ni siasa za majitaka. Kwakeli kama Chadema itaingia siasa hizo nani hajui vimada wa hao wezi wa mali zetu. Mbona baadhi yao wana vimada na watoto karibu kila mkoa? Wengine hata nje ya Nchi. Lakini tukianza mjadala wa hili utakuwa na maslahi gani wa watanzania? Ni vema tukatumia kipindi hiki kifupi kujadili mambo ya msingi kwa maslahi ya nchi yetu kuliko udaku wa mtaani.

  Chadema ni kusonga mbele. Natamani kuona siku nchi hii ikikombolewa kutoka mikononi mwa wanyang'anyi. Mimi na wewe tuna jukumu la kuwaaelimishe watu wetu hasa vijijini kwetu tuliko toka. Kura kwa Dr. Slaa na wasadizi wake: wabunge na madiwani.
   
 3. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #3
  Sep 9, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  POINT. Tumesema majitaka hatutaki
   
 4. s

  sha Senior Member

  #4
  Sep 9, 2010
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 178
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndugu yangu huwezi kumwelimisha mndengereko kwa kimakonde,lugha wanaoifahamu hao ccm ndio hioooo ya hoja mfu ni lazima utumie lugha hio hio kuwafundisha ,tafadhali kama unajua uchafu wao na una uhakika nao anika kwa wingi kadri uwezavyo ,utaona wananyamaza na mnaongea mambo yenye akili na adili
   
 5. n

  nmaduhu Member

  #5
  Sep 9, 2010
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naipongeza sana chadema, kweli chama ni makini, kwa wasioelewa kitendo cha chadema kukataa
  siasa za maji ya ****** sasa kinaitesa ccm. Kwa mujibu wa wataalamu wa saikolojia, ukimkataza
  mtoto kufanya kitu ndo atafanya kila mbinu afanye jambo hilo, ndo maana Yesu alipfufua wafu
  aliwaambia wasimwambie mtu, matokeo yake taarifa ndo zikaenea zaidi na zaidi, sasa ccm
  wanateseka kuficha taarifa hizo zisitoke nje maana sasa watanzania hawalali wakizitafuta taarfa
  za vigogo, maji wameyavulia nguo na wayaoge..............
   
 6. Sir R

  Sir R JF-Expert Member

  #6
  Sep 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 2,177
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Mwageni hapa issue hiyo.
   
Loading...