Kama hujawahi tumia hii Kimbo, basi wewe ni kizazi cha akina Lulu

zikaja kuingia na ndala za umoja kama big-g haikatiki aisee inavaliwa mpaka inatoboka..

pia ndala za bata toka kiwanda cha bora.enzi za suruali za SAVCO na tshirts za OK,duh!wachaga wenzetu walikuwa wananing'iniza lundo la funguo kwenye lux za suruali hizi!miguuni wanapiga na bonge la buti lilikuwa linaitwa VOIT.duh it was funny kwa kweli!
 

Mkuu mimi niliacha kutumia hivyo vitu baada ya kampuni fulani iliyopo Pugu road ilikuwa inarepeki Blue B........Issue ilikuja julikana baada ya kuchoma yale makopo yaliyo expire , ule moto ulikuwa mkubwa kiasi cha kuhatarisha makampuni jirani ndipo wakaitwa Fire briged...Siri ikafichuka.........maana Blue B yote inetolewa........Nikajua Dar watu wanalishana Sumu.....
 
Umenikumbusha enzi hizo wakati wa kununua kiatu unasimama kwenye mchanga watu wanachukua ramani ya urefu wa unyayo wako wanapima na kamba urefu kisha duka la bora mazee,hupati kiatu wala ndala mpaka duka la bora ....baadae kikipatikana kiatu chako kwanzia hapo ndo unajua wewe unavaa size kadhaa ama5,6 ama 7

Great days ever!
 
Naanza na sabun mbuni
mafuta shanti
Ayu niya vibasile
kamfuli
chachacha
viatu vya sasana eti mnaita simple
 
Dah!! kumbe huwaga nalumbanaga na babu zangu hapa!!
ila mbona hoja zenu za division 5 wengi wenu:lying:

mmmhh!! embu mjiheshimu kidogo.
 
pia ndala za bata toka kiwanda cha bora.enzi za suruali za SAVCO na tshirts za OK,duh!wachaga wenzetu walikuwa wananing'iniza lundo la funguo kwenye lux za suruali hizi!miguuni wanapiga na bonge la buti lilikuwa linaitwa VOIT.duh it was funny kwa kweli!

Kaaazi kweli kweli.
 
Blueband mmeisahau kulikuwa kwa nje kuna picha ya dogo kashika slice iliyosilibwa Blueband
 
Back
Top Bottom