Kama hujawahi tumia hii Kimbo, basi wewe ni kizazi cha akina Lulu

Kizazi cha Lulu, hakijatumia hii kitu!
tv.jpg
tv2.jpg
 
Kimbo ilikuwa mafuta mazuri sana kutoka Kenya, kwa chakula murua kabisa. Hivi mbona tulikula haya na hatukupata collestrol? Leo hii tunaambiwa mara ya mgando mabaya mara ya kina wale wa viwanda vya Mandela Road na Nyerera hatari kuliko maelezo, sasa tutumie mafuta gani? Hata alizeti wanachakachua siku hizi? But Kimbo was the best. Ila sasa na yale ya Blueband sasa wameharibu kabisa, hayafai tena.
 
Mmmh, umenikumbusha mbali sana mkuu!

Enzi zile tukipaka miili yetu kwa mafuta ya LadyGay, perfume YOLANDA, sabuni LIFEBUOY.
Gardenia, Imperial!!!! Mafuta ya mkebe pia ya Imperial, Gardenia, na mengine nimeyasahau kidogo. Well perfumed wakuu. Na vyote toka Kenya!!!
 
ninadhani ilikwa inaongeza hata uwezo wa kufikiria agalieni hiki kizazi cha akina lulu hakika ni aibu na wengi wao ni vichaa wa akili na matendo
 
Enzi zile unapaka mwilini BODYLINE pure petroleum Jelly, unikute na suruali yangu ya mchelemchele na shati la Tambala lenye picha ya mwewe mgongoni, asikwambie mtu dadaako haponi... lakini leo vurugu tupu.
 
Enzi zile unapaka mwilini BODYLINE pure petroleum Jelly, unikute na suruali yangu ya mchelemchele na shati la Tambala lenye picha ya mwewe mgongoni, asikwambie mtu dadaako haponi... lakini leo vurugu tupu.
Mkuu kuna ile kitu ya Rays tulimudu wengi. Bodyline ilibidi kwanza uagane na nyonga
 
Back
Top Bottom