CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
wakuu enzi hizo kuna uzalendo na nchi kwa 100% nakumbuka ndoo za kuchotea maji zilikuwa za Chuma na chache nyeusi za plastik kutoka Tanga,
- Enzi hizo wanawake wanapiga nywele pasi, wanachuka kipande cha chungu kilicho vunjika wanaweka kwenye moto then wanapiga nywele pasi,
Kipindi hicho ukiwa na nguo nyingi sana ni nne tu na kulikuwa na nguo maalumu za kutokea kwenye harusi na kazalika na ukisha toka kwenye tukio unaivua unaifua na kuiweka kwenye sanduka la mbao na kuweka aina fulani tulikuwa tunaita mayai ya nguo ili nguo inukie ikiwa sandukuni,