Kama hujawahi tumia hii Kimbo, basi wewe ni kizazi cha akina Lulu

Tripo9

JF-Expert Member
Sep 9, 2009
4,352
3,533
Kimboooooo! kimbo.jpg
 
Ee bwana eh. hiyo ndiyo kimbo orijino enzi za East African Industries. siku hizi EAI imekufa na Unilever ndo inatengeneza Kimbo.
Enzi hizo pia palikuwa na Cowboy halafu huku kwetu Supa Ghee

Mkuu kama unaweza kukumbuka Supa Ghee, lazima ukumbuke, TanBond! Unakumbuka vitu kama Celerac, Millac Cowboy na Cawliflower, Beef nk? Hayo mavituz yametulea kwa afya njema!
 
Aafu kuna yale mafuta ya korie sijui bado yapo, dah. Ulikua ukienda skonga enzi hizo primary unajipaka mafuta ya korie ugoko wa mguu una meremeta. Usoni ndo usiseme unawaka kama kioo. Na madaftari yako umechomekea matakoni kama msela nondo! Dah...
 
Hahaha sio mchezo
 
Back
Top Bottom