Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,502
- 6,403
Bibi umerudi kwa kasiInafundisha nini hiyo hadithi?
Ulipotelea wapi
Bibi umerudi kwa kasiInafundisha nini hiyo hadithi?
Mama hujambo...?Kufanya kazi ni adhabu? we punguani kweli kweli.
Una maana Mungu hakumuondeshea kikombe chake? Kwa maana hiyo Mungu hakuyakubali maombi ya Yesu?
"KUFA" msalabani ni laana kwa mujibu wa biblia. Au hulifahamu hilo?
Hivi hiyo biblia mnaisoma au mnafata ya kuambiwa?
Swali zuri sana:funzo gani inatupa?Inafundisha nini hiyo hadithi?
Nilichoona mimi kwanza kinafundisha hiyana inalipa. Unaweza kumfanyia hiyana hata kaka yako na Mungu asikufanye lolote.Swali zuri sana:funzo gani inatupa?
HII HADITHI INAFUNDISHA KUWA WATU WAMEACHA KUSOMA BIBLIA WANATEGEMEA PASTA ASKOFU PADRI WACHUNGAJI NDIO WAWA SOMEE. NDIO MAANA WAKIONA MTU KAO BINAMU YAKE WANADAI NI TAMADUNI ZA KIARABU, KUMBE HATA BIBLIA INATAMBUAInafundisha nini hiyo hadithi?
Kifo cha Msalaba na kifo cha ovyo sana. Walikuwa wanauwa watu wanyanganyi, wabakaji na majambazi. Lakini Yesu alikubali fedheha hiyo kwa sababu ya wokovu wa binadamu. Ndio maana waliopokuwa pale msalabani yule jambazi mmoja alimdhihaki Yesu. Yule mwenzake akamwambia una mdhihaki mtu huyu hana kosa lolote. Lakini mimi na wewe tumekosa. Naona Faiza na wewe unaingia kwenye mkumbo wa wale majambazi wawili waliokuwa msalabani.Kufanya kazi ni adhabu? we punguani kweli kweli.
Una maana Mungu hakumuondeshea kikombe chake? Kwa maana hiyo Mungu hakuyakubali maombi ya Yesu?
"KUFA" msalabani ni laana kwa mujibu wa biblia. Au hulifahamu hilo?
Hivi hiyo biblia mnaisoma au mnafata ya kuambiwa?
Tena imeenda mbali zaidi. Ukisoma mistari hapo unaweza kuoa binamu tena mtu na dadake.HII HADITHI INAFUNDISHA KUWA WATU WAMEACHA KUSOMA BIBLIA WANATEGEMEA PASTA ASKOFU PADRI WACHUNGAJI NDIO WAWA SOMEE. NDIO MAANA WAKIONA MTU KAO BINAMU YAKE WANADAI NI TAMADUNI ZA KIARABU, KUMBE HATA BIBLIA INATAMBUA
Inafundisha nini hiyo hadithi?
Alikubali? Angekubali angemlilia Mungu kuwa anamuacha?Kifo cha Msalaba na kifo cha ovyo sana. Walikuwa wanauwa watu wanyanganyi, wabakaji na majambazi. Lakini Yesu alikubali fedheha hiyo kwa sababu ya wokovu wa binadamu. Ndio maana waliopokuwa pale msalabani yule jambazi mmoja alimdhihaki Yesu. Yule mwenzake akamwambia una mdhihaki mtu huyu hana kosa lolote. Lakini mimi na wewe tumekosa. Naona Faiza na wewe unaingia kwenye mkumbo wa wale majambazi wawili waliokuwa msalabani.
Sisi Waislam tunawaheshimu sana Manabii na Mitume wa Mungu
Hatutaki dhahaka wala longolongo
Hakuna Mtume aliekuwa na sifa ya Uongo
wala hakuna Mtume aliekuwa Mzinzi
Wala hakuna Mtume aliekuwa mnywaji Pombe
Walikuwa ni watu wema mbele ya jamii iwazunguukayo
Inawezekana maadaili ya wakati huo yalikuwa yana ruhusuNa tule tu bikra twa miaka sita alitokua anatutafuna moody sio uzinzi kweli huo?
Inawezekana maadaili ya wakati huo yalikuwa yana ruhusu
Alikubali? Angekubali angemlilia Mungu kuwa anamuacha?
Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Bila shakaLakini kwa Yakobo ulikua uzinzi maana madili yalikua hayaruhusu 😂😂😂
Sasa hiyo aya wapi imeonesha aliikuwa na uwezo wa kuondoka? Irudie tena utuoneshe huo uwezo uko wapi kwenye aya uliyobandika.Yesu huyu alikuwa na uwezo wa kuondoka pale msalabani na kwenda zake. Angalia hii
Mathayo 17
2 akageuka sura yake mbele yao; uso wake ukang’aa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.
Jombaa,hapo disco limeingia mmasai..Nimeanza kuingia na shaka kama biblia unaijua. Yakobo amefanya kazi kwa mjomba ake zaidi ya 23,(ambayo ilikuwa ni adhabu). Yesu alikuwa na mamlaka na uwezo, lakini alisema bali mapenzi yako yatimizwe. Mapenzi gani- kufa msalabani kwa ajili ya wokovu. Na ndio maana biblia inasema watamtazama yule waliyemchoma mkuki.......
Duh!Haya twende nawasoma wote.Sasamhiyo ayat wapi imeonesha ilikuwa na uwezo wa kuondoka? Irudie tena utuoneshe huo uwezo uko wapi kwenye aya uliyobandika.
Angekuwa na uwezo huo angemlilia Mungu wake?
Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?