Kama hujawahi kusoma hiki kisa; wacha nikusimulie!

Kufanya kazi ni adhabu? we punguani kweli kweli.

Una maana Mungu hakumuondeshea kikombe chake? Kwa maana hiyo Mungu hakuyakubali maombi ya Yesu?

"KUFA" msalabani ni laana kwa mujibu wa biblia. Au hulifahamu hilo?

Hivi hiyo biblia mnaisoma au mnafata ya kuambiwa?
Mama hujambo...?
 
Swali zuri sana:funzo gani inatupa?
Nilichoona mimi kwanza kinafundisha hiyana inalipa. Unaweza kumfanyia hiyana hata kaka yako na Mungu asikufanye lolote.

Pili nimeona unaweza kuoa madada wawili na siyo uzinzi.

Sasa hayo ni mafundisho ya Mungu kweli au kuna mkono wa binadamu mpenda maovu hapo?
 
Inafundisha nini hiyo hadithi?
HII HADITHI INAFUNDISHA KUWA WATU WAMEACHA KUSOMA BIBLIA WANATEGEMEA PASTA ASKOFU PADRI WACHUNGAJI NDIO WAWA SOMEE. NDIO MAANA WAKIONA MTU KAO BINAMU YAKE WANADAI NI TAMADUNI ZA KIARABU, KUMBE HATA BIBLIA INATAMBUA
 
Kufanya kazi ni adhabu? we punguani kweli kweli.

Una maana Mungu hakumuondeshea kikombe chake? Kwa maana hiyo Mungu hakuyakubali maombi ya Yesu?

"KUFA" msalabani ni laana kwa mujibu wa biblia. Au hulifahamu hilo?

Hivi hiyo biblia mnaisoma au mnafata ya kuambiwa?
Kifo cha Msalaba na kifo cha ovyo sana. Walikuwa wanauwa watu wanyanganyi, wabakaji na majambazi. Lakini Yesu alikubali fedheha hiyo kwa sababu ya wokovu wa binadamu. Ndio maana waliopokuwa pale msalabani yule jambazi mmoja alimdhihaki Yesu. Yule mwenzake akamwambia una mdhihaki mtu huyu hana kosa lolote. Lakini mimi na wewe tumekosa. Naona Faiza na wewe unaingia kwenye mkumbo wa wale majambazi wawili waliokuwa msalabani.
 
HII HADITHI INAFUNDISHA KUWA WATU WAMEACHA KUSOMA BIBLIA WANATEGEMEA PASTA ASKOFU PADRI WACHUNGAJI NDIO WAWA SOMEE. NDIO MAANA WAKIONA MTU KAO BINAMU YAKE WANADAI NI TAMADUNI ZA KIARABU, KUMBE HATA BIBLIA INATAMBUA
Tena imeenda mbali zaidi. Ukisoma mistari hapo unaweza kuoa binamu tena mtu na dadake.
 
Kifo cha Msalaba na kifo cha ovyo sana. Walikuwa wanauwa watu wanyanganyi, wabakaji na majambazi. Lakini Yesu alikubali fedheha hiyo kwa sababu ya wokovu wa binadamu. Ndio maana waliopokuwa pale msalabani yule jambazi mmoja alimdhihaki Yesu. Yule mwenzake akamwambia una mdhihaki mtu huyu hana kosa lolote. Lakini mimi na wewe tumekosa. Naona Faiza na wewe unaingia kwenye mkumbo wa wale majambazi wawili waliokuwa msalabani.
Alikubali? Angekubali angemlilia Mungu kuwa anamuacha?

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Sisi Waislam tunawaheshimu sana Manabii na Mitume wa Mungu

Hatutaki dhahaka wala longolongo

Hakuna Mtume aliekuwa na sifa ya Uongo

wala hakuna Mtume aliekuwa Mzinzi

Wala hakuna Mtume aliekuwa mnywaji Pombe

Walikuwa ni watu wema mbele ya jamii iwazunguukayo

Na tule tu bikra twa miaka sita alitokua anatutafuna moody sio uzinzi kweli huo?
 
Alikubali? Angekubali angemlilia Mungu kuwa anamuacha?

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?

Yesu huyu alikuwa na uwezo wa kuondoka pale msalabani na kwenda zake. Angalia hii
Mathayo 17
2 akageuka sura yake mbele yao; uso wake ukang’aa kama jua, mavazi yake yakawa meupe kama nuru.
 
Sasa hiyo aya wapi imeonesha aliikuwa na uwezo wa kuondoka? Irudie tena utuoneshe huo uwezo uko wapi kwenye aya uliyobandika.

Angekuwa na uwezo huo angemlilia Mungu wake?

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
 
Nimeanza kuingia na shaka kama biblia unaijua. Yakobo amefanya kazi kwa mjomba ake zaidi ya 23,(ambayo ilikuwa ni adhabu). Yesu alikuwa na mamlaka na uwezo, lakini alisema bali mapenzi yako yatimizwe. Mapenzi gani- kufa msalabani kwa ajili ya wokovu. Na ndio maana biblia inasema watamtazama yule waliyemchoma mkuki.......
Jombaa,hapo disco limeingia mmasai..
 
Sasamhiyo ayat wapi imeonesha ilikuwa na uwezo wa kuondoka? Irudie tena utuoneshe huo uwezo uko wapi kwenye aya uliyobandika.

Angekuwa na uwezo huo angemlilia Mungu wake?

Mathayo 27:
46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona umeniacha?
Duh!Haya twende nawasoma wote.
 
Back
Top Bottom