M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,684
- 117,036
nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa action film kutoka bollywood.Hapo naona ungeongeza na mmoja ya kihindi inaitwa JAN DUSHMAN
suniel shetyy + sunny deol + ajay devgan
kitambo sana
nilikuwa mshabiki mkubwa sana wa action film kutoka bollywood.Hapo naona ungeongeza na mmoja ya kihindi inaitwa JAN DUSHMAN
kwa sote bila ya kuvuka mipaka yetu ya kibinadamuok.. broh
Endelea na unachofurahia nachoo.. yote ni kutafuta furaha ya mioyo yetu
Kutia aibu nikwa anayepretend life,kama umekulia na kuzaliwa mjini tu huwezi kuelewa, wanakijiji wenzangu wanaelewa ninachomaanisha......hata saizi kuna baadhi wanajua Rais ni NyerereHata mijenereta unataka kusema haikua na uhuru kufika huko, unatia aibu mkuu
Nimeona xooote hizoKama wewe ni mTanzania halisi na hujaziona moja wapo ya hizi jitathmini upya.View attachment 1102849View attachment 1102850View attachment 1102851View attachment 1102852View attachment 1102853View attachment 1102854View attachment 1102855View attachment 1102856View attachment 1102857View attachment 1102858View attachment 1102859View attachment 1102860View attachment 1102861View attachment 1102862
Upo vizuri bwana LeonardoNimeona xooote hizo
Labda ww baby
Kama wewe ni mTanzania halisi na hujaziona moja wapo ya hizi jitathmini upya.View attachment 1102849View attachment 1102850View attachment 1102851View attachment 1102852View attachment 1102853View attachment 1102854View attachment 1102855View attachment 1102856View attachment 1102857View attachment 1102858View attachment 1102859View attachment 1102860View attachment 1102861View attachment 1102862
Hizi sokoni sijui kama zitakuwepo maana kipindk cha VHS labda download mitandaoni kama zipoHivi huu uzi nitaupata jukwaa gani baadaye nikitaka kufatilia baadhi ya muvi nizinunue Kaka