Kama hujawahi kuona hizi muvi basi zitafute

Hata mijenereta unataka kusema haikua na uhuru kufika huko, unatia aibu mkuu
Kutia aibu nikwa anayepretend life,kama umekulia na kuzaliwa mjini tu huwezi kuelewa, wanakijiji wenzangu wanaelewa ninachomaanisha......hata saizi kuna baadhi wanajua Rais ni Nyerere
 
Kwa kizazi cha sasa cha movie kama hujaona The Expendables, TAKEN au Fast n Furious basi umeachwa mbali
 
Kama wewe ni mTanzania halisi na hujaziona moja wapo ya hizi jitathmini upya.
devils_kingdom.jpeg
magic_house.jpeg
the_lost_twins.jpeg
this_is_it.jpeg
uncle_jj.jpeg
mrembo_kikojozi_.jpeg
young_billionaire.jpeg
oprah.jpeg
oh_mama.jpeg
big_daddy.jpeg
moses.gif
inye.jpeg
inye_plus.jpeg
inye_gwedegwede.jpeg
 
Nimeziangalia sana mabanda ya video,kipindi hicho home vichenji chenji sh 10,20 vikikaa kizembezembe nilikuwa napita navyo kama Usain bolt😂😂😂
 
Dahh tuli enjoy sna utotoni enzi hizo hatujui hata kingereza lkn Lufufu alikuwa anatupigatafu tukienda kwenye vibanda umiza

Delta force nimeirudia ukubwan zaid ya mara 2 ni bongeya muvi asee
 
Back
Top Bottom