huenda aliacha kuigiza au alifariki au huja search real name mkuuNaam kitambo sana kafariki jamaa..sema nashindwa kupata picha za yule dogo Kenny kwenye heroes shed no tears nimekosa kabisa picha zake za ukubwani
kwa wenzetu ni vigumu mtu maarufu pic zake zikosekane,itakua alifariki akiwa mdogoJina lake halisi ni Ma Ying chun nimetafuta nimekosa asee, ambae najua haigizi ni yule dogo aliyecheza na jet lee my father is hero
😂😂😂😂 mi ndo nina mpango wa kwenda kuitafuta,nasubilia niuze mazaokwa mara ya kwanza naiona Tv ilikua 2004 heheee usitake kujua kilichotokea