Nitakuchek mkuu huyu mtoa post ana utani na wapenda moviehauko serious kijana
wewe ndio bado mchanga sana inaonekana kwenye uwanja wa muvi, njoo na hard disk nikupe muvi kali
Movie ndio zilianza miaka hiyo? Mbona sioni hata moja ya kati ya 1985 na 1990?Wakuu kama kuna mtu hajaziona hizi movies basi kwenye ulimwengu wa movies bado sana
View attachment 1181480
Apo ya 8 na ya 10 ndio sijaziona.Labda hiyo venom ila zingine nadhani hujaziona
Wakuu kama kuna mtu hajaziona hizi movies basi kwenye ulimwengu wa movies bado sana
View attachment 1181480
Salt nimeichek iko vizuri sanaaaa,,,Wakuu kama kuna mtu hajaziona hizi movies basi kwenye ulimwengu wa movies bado sana
View attachment 1181480