Kama hili ni kweli basi ni kiboko yake.

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Kuna tetesi ya kuwa Capt. mstaafu mwenye cheo cha ngazi ya juu katika ccm, jana alielezea mpango wa chama hicho kuvunja bunge, na badala yake kuunda Baraza la Mapinduzi ambalo litajumuisha vyama vyote vya upinzani isipokuwa chadema. Kama kuna yeyote anayeweza kudhibitisha habari hiyo anijulishe. Naomba kuwakilisha.
 
U mean John Chiligati?
Kuvunja bunge?
Kwa kanuni zipi?
Mbona hizi tetesi kisheria haziingii akilina unless kama dictatorship will take place.
 
Sikatai kuwa hiyo ni tetesi lakini nachosema tetesi ambazo si practical. CCM haiwezi kuvunja Bunge!
 
Kuna tetesi ya kuwa Capt. mstaafu mwenye cheo cha ngazi ya juu katika ccm, jana alielezea mpango wa chama hicho kuvunja bunge, na badala yake kuunda Baraza la Mapinduzi ambalo litajumuisha vyama vyote vya upinzani isipokuwa chadema. Kama kuna yeyote anayeweza kudhibitisha habari hiyo anijulishe. Naomba kuwakilisha.

Kwa kutumia katiba ipi...................Raisi akivunja Bunge tunarudi kwenye uchaguzi Mkuu tena......JK hiyo jeuri anayo?
 
Back
Top Bottom