Kama hili ni kweli, Basi Mo Ataliza Watu Muda Sio Mrefu

Na hapohapo hana elimu wala nini ameletwa bongo kujifunza kazi na analala kwenye makontena ila anavyokusumbua lengo lake uondoke.
na huyo muhindi ukute huko alikotoka ana baguliwa vibaya mno so kisirani kinakuwa kwa wafanyakazi
 
Mo anakosa hekima.Lakini pia inaonekana uwekezaji wa Haji kwenye kuihujumu timu,ni mkubwa sana.Ninaona Haji huenda hata alitumika na makampuni ya bet ili kupanga matokeo ya mechi kubwa.Huenda walitengeneza pesa nyingi kwa kushirikiana na wachezaji kama chama.

Leo nimekumbuka Hans Pope kipindi fulani aliwahi kumtuhumu chama amecheza chini ya kiwango maksudi.Ninaanza kuelewa yule Mzee hakuwa mwendawazimu.Haji anajua mchezo mzima.Haji sio mtu kabisa.Hafai kutetewa hata kidogo.
Huu ndio ukweli halisi kabisaaa na haya mambo hayajifichi si unaona chama kakasirika manara kufukuzwa kule insta live
 
Chama hajaondoka vizuri pale Simba

Upuuzi wa MO ndio umempa nguvu ya kusepa

Tunaenda kua kama As Vita soon.
 
Back
Top Bottom