Kama hili litakuwa ni la kweli basi sasa naanza Kuamini kuwa Roho Mkatatifu ameshakita Kambi ndani ya TBC

Uchaguzi utakuwa wa huru na haki-Magu.
Nenda kwenye ground sasa utafurahi mwenyewe
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayoub Rioba amesema chombo hicho cha habari hakibagui chama chochote cha siasa katika kurusha matangazo.

Dkt. Rioba amesema kuwa chombo hicho cha umma hakibagui chama bali wanatimiza wajibu wa kuwahabarisha wananchi kama inavyopaswa na sio kukaa kwenye mrengo mmoja wa chama kimoja.

Dkt.Rioba pia amesema baadhi ya vyama vilifikia hatua kukataa kushiriki kwenye vipindi endapo wanaalikwa ndani ya chombo hicho cha umma.

Aidha, amesema ikitokea vyama vya siasa vinaenda kuomba muda wa kipindi au matangazo chombo hicho cha umma kinatoa fursa na nafasi kwa vyama vyote nchini na anavikaribisha vyama vyote kwenye chombo hicho cha umma hususani kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu bila ubaguzi wowote.

Habari Star TV Tanzania

Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia Mzukulu kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya Kuongea na Kutenda au Uhalisia na Ukweli wa Jambo husika.
Huyu Rioba alikuwa na vihekima flani na vimeshaisha kama vile vihekima vya polepole wa ccm vimekwisha kabisa siku hizi.
 
Mkurugenzi Mtendaji wa TBC Dkt. Ayoub Rioba amesema chombo hicho cha habari hakibagui chama chochote cha siasa katika kurusha matangazo.

Dkt. Rioba amesema kuwa chombo hicho cha umma hakibagui chama bali wanatimiza wajibu wa kuwahabarisha wananchi kama inavyopaswa na sio kukaa kwenye mrengo mmoja wa chama kimoja.

Dkt.Rioba pia amesema baadhi ya vyama vilifikia hatua kukataa kushiriki kwenye vipindi endapo wanaalikwa ndani ya chombo hicho cha umma.

Aidha, amesema ikitokea vyama vya siasa vinaenda kuomba muda wa kipindi au matangazo chombo hicho cha umma kinatoa fursa na nafasi kwa vyama vyote nchini na anavikaribisha vyama vyote kwenye chombo hicho cha umma hususani kuelekea kipindi hiki cha uchaguzi Mkuu bila ubaguzi wowote.

Habari Star TV Tanzania

Kuna Mtu Mmoja aliwahi Kuniambia Mzukulu kuwa kuna tofauti kubwa sana kati ya Kuongea na Kutenda au Uhalisia na Ukweli wa Jambo husika.
Vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno. Je mpinzani anaweza kurushiwa matangazo yake mubashara kama watu fulani wanavyofanya?
 
Mimi nimeacha kutazama kabisa TV station za nyumbani mana hawana kingine cha kujadili zaidi ya Praise mimi natambua mchango mzuri wa JPM katika Taifa hili ila kwa huu uoga wa Media kwa kweli hata sihangaiki tena na local media ivi ku broadcast habari za Vyama vingine ni dhambi? ITV nao wako humo humo nao very unprofessional
Kuna mambo mengi ya ovyo yanaendelea na mimi naamini hayana baraka za mkuu wa nchi basi tu ni UOGA
Utasemaje hayana baraka za Mkuu wa nchi, wakati kila mwananchi anajua kuwa huyo Jiwe ndiye anayeshinikiza chombo hicho cha Umma kiwe cha "Praise &, worshipi team for Magu" wakati wote?
 
Back
Top Bottom