Kama hili lina ukweli Serikali isimtafute mchawi wake ni nani na wala haina haja ya kuwapa watu vitisho...

feyzal

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
6,799
12,609
Uzi tayari
Screenshot_20190902-120526.jpeg
 
Hii nchi unaweza ukawa unajiuliza maswali mengi "kwa nini hakuna maendeleo na rasilimali zote tulizonazo???"..halafu unachoka zaidi ukiangalia nchi ambazo hazina rasilimali nyingi lakini zaendelea kwa kasi sana kama Botswana,namibia,mauritius,ethiopia..
 
Mbona wakati wa Nyerere kifungo cha muda mrefu ukiondoa mauaji na uhaini ilikua ni miaka 15 tu? huyo aliyehukumiwa miaka 30 ni kwa sheria ip?
 
Sisi tutaendelea tu kushauri, tena kwa nia njema kabisa....jamani tulipe deni la mtu.....hizi ngonjera sijui za msemaji wa srikali hazitusaidia lolote
 
Hii nchi unaweza ukawa unajiuliza maswali mengi "kwa nini hakuna maendeleo na rasilimali zote tulizonazo???"..halafu unachoka zaidi ukiangalia nchi ambazo hazina rasilimali nyingi lakini zaendelea kwa kasi sana kama Botswana,namibia,mauritius,ethiopia..
tunachokosa ni viongozi wenye akili, busara na utashi wa kisiasa. Wengi ni wahuni wahuni tu kama Bashite.
 
Kuwabatiza watu kwamba ni wahuni wahuni unatumia vigezo vipi Diaspora Jay? Hivi wewe matendo yako yote hapa duniani yamenyooka? Ni rahisi kuona uhuni wa mwenzio lakini wa kwako usiuone. Hata hivyo kitendo cha kubatiza wenzio wahuni bila kutoa sababu za msingi kinapelekea na wewe mwenyewe uonekane ‘mhuni mhuni’ mbele ya baadhi ya watu. Heshima haiuzwi.
 
Hermanus Steyn inabidi apate press(au mdahalo) atuambie mwanzo hadi mwisho mwa hili sakata.Akipata mtu anayehoji vizuri itakua ni mdahalo mzuri.
 
Kuwabatiza watu kwamba ni wahuni wahuni unatumia vigezo vipi Diaspora Jay? Hivi wewe matendo yako yote hapa duniani yamenyooka? Ni rahisi kuona uhuni wa mwenzio lakini wa kwako usiuone. Hata hivyo kitendo cha kubatiza wenzio wahuni bila kutoa sababu za msingi kinapelekea na wewe mwenyewe uonekane ‘mhuni mhuni’ mbele ya baadhi ya watu. Heshima haiuzwi.
Unahitaji nitoe uthibitisho upi kuhusu uhuni wa Bashite et al ?
 
Sifa moja ya watu wahuni wahuni ni wezi ..walaghai na hawana huruma kisha unafiki wanauishi .... ...
 
Back
Top Bottom