Kama hili lilifanikiwa huko huko zanzibar iweje na hili lisifanikiwe!

Jumanne Mkota

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,917
1,660
salaam sana wana JF.
Nyerere (RIP babu yangu) ulitueletea azimio la Arusha na watu wakatembea kwa mguu kutoka Arusha kwenda (hapa sina uhakika ni Dar ua Dom) (rest in peace Seth Benjamini ) kuliunga mkono Azimio . Mwaka 1988 watu hao hao wakakutana huko Zanzibar wakavunja Azimio lile na kutuletea azimio la Zanzibar ambalo ndo lilizaa statement ya Kero za Muungano na kuanza kuitafuna nchi kwa raha zao. Sasa leo huko huko Zingi bar wanataka kuvunja Muungano. Nina imani watafanikiwa kama walivyofanikiwa kufutilia mbali Azimio la Arusha
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom