Kama hili halitawezekana basi TCU iangalie vyuo vyake

Jovanny hm

Member
Jun 5, 2019
31
25
Hello wanajukwaa,
Naomba kuuliza , hivi inawezekana kuripoti chuo bila kulipa direct cost kama vile za hostel,afya,capitation fee nk. na kusubiria mkopo ili kuzilipa kupitia mkopo.

Mkopo nimepata first batch, ila sijajua kama nitaweza kutumia boom kulipia baadhi ya direct cost wakat na ripoti.
Kama hili haliwezekani basi TCU ihusike
 
Chuo gani iko?
Kuna baadhi ya vyuo unalipa kwanza na pesa yako then mapaka ile aystem ya majina yako pamoja na asilimia zako ziwe zimewekwa kule chuo ulichopata so mpaka mwezi wa kumi na moja week mbili zile za mwanzo ndo unakua verified but now ni lazima ulipie then pesa ako itarudishwa baada ya ile system kukaa sawa.kwasababu waliopata mkopo ni wengi sio ww peke ako so kuna process some how.
 
Usijiroge kulipa ada, huwaga kurudi ni process ndefu mno. Ila vitu kama hostel na other direct cost itakubidi ulipie pindi ufanyapo usajili. Kama mfuko hausomi kopa kwa wadau hizo direct cost then boom likitema utawarejeshea
 
naongezea mkazo..usilipe ada bila kujua umepata asilimia ngapi kwenye mkopo, kuhusu hizo direct cost na michango mingine kopa kwa watu unawo wafahamu then baadae uwarudishie muhimu uonyeshe tu uaminifu kwa hao watu ili siku nyengine waendelee kukusaidia..

kwa chuo nilichosoma mm nakumbuka nilizidishaga ada..ada hairudishwi ila inaweza ikasogezwa mwaka unaofuata.
 
Hello wanajukwaa,
Naomba kuuliza , hivi inawezekana kuripoti chuo bila kulipa direct cost kama vile za hostel,afya,capitation fee nk. na kusubiria mkopo ili kuzilipa kupitia mkopo.

Mkopo nimepata first batch, ila sijajua kama nitaweza kutumia boom kulipia baadhi ya direct cost wakat na ripoti.
Kama hili haliwezekani basi TCU ihusike
Ni mpaka uwe na id ndio usaini boom vinginevyo haiwezekani.

Watakuaminije wakupee mkopo wakati hujasajiliwa bado ukiteleza nazo hizo pesa.

But hayo mambo ya mkopo ni HESLB TCU wanahusikaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom