Kama hii tweet ni kweli basi Air Tanzania ni ya kuhurumiwa

Biashara yoyote haijawahi kuwa rahisi kama tunavyoaminishwa na akina joni walker..!!
Na hasa hasa hii ya ndege ambayo tumegubikwa na ushamba mwingi badala ya kufuatilia kwa karibu wenzetu wanaendeshaje biashara ya madege makubwa makubwa..

Eti tunaambiwa #Endeleeni #Kuangalia #Angani... sawa kuangalia angani tutaangalia lakni je kuna faida katika utumbo huu unaofanyika..!!
 
MBONA KAMA TWITA YA MKENYA??
UNATEGEMEA ATAKUSIFIA NA KQ INAWAPASUA KICHWA KILA SIKU??
FIKIRIA, TAFAKARI, CHUKUA HATUA...
 
hamuwezi kuwa busy kila siku kuwafanya wenzenu ni second class,kuwanyanyasa ,kuwateka,kuwaua halfu wasifurahie vimeo vyenu vikifeli.
Wew jamaa kweli Nzangamba (ng'ombe)
Mimi nimeongelea masuala ya msimamo wa kuanzisha na yanayotokea, nikimaanisha haya yalitarajiwa. Sasa wewe ushatoka nje ya ulingo kana kwamba unanifahamu.
Basi endelea kufurahia kana kwamba ndo faraja ya maisha yako.
 
Mimi nafurahia shirika hili kupata hasara. Taifa hili viongozi utawasikia maendeleo hayana Chama, utawasikia tushikamane. Kama mbele ya halaiki tu wanawasema wapinzani, wanawatesa viongozi wa upinzani utadhani tuko karne ya 16 hivi. Je, wanayoyafanya sirini yakoje. Unafiki umewajaa sana. Leo wapinzani wangapi wana kesi mahakamani ambazo hata kichwa hazina?
Unafiki mimi sina, nafurahia kushindwa kwa utawala huu dhalimu huenda ukajitafakari na kugundua kuwa tunahitaji umoja halisi wa kitaifa na si wakinafiki. Hivi nchi tumefikia kiongozi anasema hadharani nina hasira na CHADEMA, TUTAIFUTA KABISA. Sasa ukiifuta chadema utapata nini?. Utawala wenye dhulma kwa watumishi.
 
Mimi nafurahia shirika hili kupata hasara. Taifa hili viongozi utawasikia maendeleo hayana Chama, utawasikia tushikamane. Kama mbele ya halaiki tu wanawasema wapinzani, wanawatesa viongozi wa upinzani utadhani tuko karne ya 16 hivi. Je, wanayoyafanya sirini yakoje. Unafiki umewajaa sana. Leo wapinzani wangapi wana kesi mahakamani ambazo hata kichwa hazina?
Unafiki mimi sina, nafurahia kushindwa kwa utawala huu dhalimu. Utawala wenye dhulma kwa watumishi.
tuko pamoja sana tuuuuu,siku ingine waende hao crew sita wakazururure nalo huko angani
 
Hata basi za Modern kutoka Mwanza kwenda Nairobi mara nyingine huwa zinabeba hadi watu 15 kwenda Nairobi. Biashara kuna kupata na kukosa.
Mmmmh biashara ikiwa hivyo ni kifo, nfano ni mabasi ya Scandinavia hayapo Tena yalikua na system hiyo
 
Suala la Kununua Mandege kwa ajili ya Safari za ndani Kila siku Linakosolewa na Watanzania wengi lakini watu wanaonekana ni wabaya na hawaipendi serikali.. Hivi serikali gani inashindwa kusoma hata Ramani ya Jinsi mambo yalivyokuwa Magumu kipindi Hichii...??? Yanii unakaa kununua mandege tu ili mradi nchi ionekane ina Ndege... Serious????? HUU NI UPUUZI MKUBWA SANA WA AWAMU HII YA TANO....
 
Not ready to swallow everything from twitter. Kweli, ni kazi ngumu.

Btw., KQ siwasikii tena na safari yao ya Nairobi New York! Done? Collapsed, failure? Hahaaa!

Still existing bro! Isipokua kuanzia January zitapungua kutoka 7 days a week to 5 days.
 
Na bado kuna skrepa zetu tatu (3) 'zinapakwa rangi' tunaandaa wapiga vigeregere tukutane kwenye 'wota saryuti'.
 
Back
Top Bottom