Kuyaona mawazo yetu kama 'Kelele' ni kutudharau Watanzania

It was very poor choice of word from her excellence equivalent to chochoko. Niliichukulia kama bahati mbaya. Sina wasiwasi sana na kiwango cha unyenyekevu na uungwana wa Mheshimiwa.
 
It was very poor choice of word from her excellence equivalent to chochoko. Niliichukulia kama bahati mbaya. Sina wasiwasi sana na kiwango cha unyenyekevu na uungwana wa Mheshimiwa.

Bahati mbaya inajirudia? Rejea Morogoro ziarani na Dar ikulu jana same word 'Kelele' kwa maboss wake kweli jamani?
 
inatia aibu sana kwa walinzi wetu wa nchi JWTZ (polisi na wengineo tupa kule) na manyota yao sijui nembo ya taifa begani kuburuzwa na mpumbavu mmoja mwanasiasa yote ya yote Mungu yupo kama ilivokuwa kwenye awamu ya tano.
Shida yao F4 wengi walifoji
 
Hoja yako ina mashiko but umeharibu hapo ulipotaja issue ya mkoa wa Mara; mkoa wa Mara hauna historia yoyote ya ushujaa nchini Tanzania; hakuna kitabu chochote kinacho eleza kuhusu ushujaa wa watu wa mkoa wa Mara zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe na hasa mkiwa wilaya ya Tarime, yaani mkizurumiana pesa au mademu ndio mnapigana mapanga, nje ya hapo hakuna kitu chochote cha ushujaa.
 
Lissu ali-summarize vizuri.... hapa tuna serikali ya kifalme. Yaani sisi sio wananchi, ni subjects[sijui kiswahili chake]. Ndio matokeo yake.
 
Utabiri, Lissu atakuja kuwa MTU mkubwa kwenye mashirika ya nje na kisha kuhudumia Tanzania kwa kuombwa
 
"Tulipoamua kupandisha Tozo za Miamala tulikuwa tuna lengo zuri tu ila tulipoanza kusikia Kelele za Wananchi basi Serikali tukaona kwakuwa tunawajali Wananchi wetu tuingilie kati na sasa nimeunda Kamati ili kuliangalia hili na itakuja na majibu muda si mrefu" Rais Samia.

Hasira yangu na Uchungu wangu zaidi haipo katika Kauli nzima bali ni hilo neno tu la 'Kelele' ambalo Mimi nalitafsiri kama vile Rais 'ametudharau' mno na kwamba anataka Watanzania tuwe ni Watu wa kukubali tu kila Kitu ambacho Serikali inaamua.

Kama ni kweli Mheshimiwa Rais Samia alilisema hili neno la 'Kelele' kama alivyonukuliwa popote pale alipo ajue kuwa binafsi 'amenikera' japo huenda Watanzania wengi wakawa 'wameridhika' nalo.

Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) ambao ndiyo 'Mashujaa' wa nchi hii ya Tanzania kuambiwa tuna 'Kelele' ni Kosa Kubwa mno na Dharau japo kwa Watu Washamba wao neno hili huenda wakalifurahia zaidi.

Yaani kwa mfano haya uliyoamdika hapa nikwambie, "KELELE".?
Kumbe hata ile kauli ya tusiotaka tozo twende Burundi ni ya Baraza zima la Mawaziri.
 
Hoja yako ina mashiko but umeharibu hapo ulipotaja issue ya mkoa wa Mara; mkoa wa Mara hauna historia yoyote ya ushujaa nchini Tanzania; hakuna kitabu chochote kinacho eleza kuhusu ushujaa wa watu wa mkoa wa Mara zaidi ya kuuana wenyewe kwa wenyewe na hasa mkiwa wilaya ya Tarime, yaani mkizurumiana pesa au mademu ndio mnapigana mapanga, nje ya hapo hakuna kitu chochote cha ushujaa.
Nimeandika tu hivyo Mkoa wa Mara ( Musoma ) na Kuwatania hao Watani zangu Wapendwa ( Wajomba na Mashangazi ) kama sehemu tu ya 'Kuunogesha' Uzi ili hata kama tunalijadili hili la Kuambiwa ni Wapiga 'Kelele' lakini pia 'tunapoozana' kwa Kutaniana na Kuchangamshana hapa na pale.
 
😂 😂 watu wa Mara wahamie Burundi.

Everyday is Saturday................................😎
Yaani Mwanamke kabisa anatuambia Wanamume wa Kikurya, Kizanaki,Kijita na Kijaluo kutoka Mkoani Mara kuwa tuna 'Kelele' Kwake? Hivi Bi Mkubwa hapa alipitiwa tu au alidhamiria?
 
Back
Top Bottom