Kama hii ndo dream Car, tia neno

haya ndio madhara ya tecno..

Umeandika uzi mstar moja tu inapost yenyewe, unataka uedit unaambiwa 'keyboard is not responding' unataka u edit uweke picha, inakuambia 'unfortunately gallery has stoped',
'ok/wait/report'
hujamaliza hata hasira unaambia
'jamiiforums has crashed'

na hapo ikikaa sawa utaskia battery low,
ikizima ikija kuwaka uipe dk kumi imalize majukumu yake kwanza,
huku wana jf wanakusubiri...

Halaf yote hayo yanatokea pembeni unaona boksi lake limeandikwa heruf kubwa

TECNO SPARK 3, FOR AFRICA ONLY.

aloo hawa watu ndio maana wana hasira sana kwenye mitandao,

Ukimkuta ana typ kama anapukuchua mahindi
 
Tia neno twende sawa
Ngoja nikupe msaada wa kuambatanisha na picha
tapatalk_1562647940254.jpeg
 
haya ndio madhara ya tecno..

Umeandika uzi mstar moja tu inapost yenyewe, unataka uedit unaambiwa 'keyboard is not responding' unataka u edit uweke picha, inakuambia 'unfortunately gallery has stoped',
'ok/wait/report'
hujamaliza hata hasira unaambia
'jamiiforums has crashed'

na hapo ikikaa sawa utaskia battery low,
ikizima ikija kuwaka uipe dk kumi imalize majukumu yake kwanza,
huku wana jf wanakusubiri...
Du wewe ni mtu mbaya sana. Umenichekesha mpaka nikaona kizunguzungu.
 
haya ndio madhara ya tecno..

Umeandika uzi mstar moja tu inapost yenyewe, unataka uedit unaambiwa 'keyboard is not responding' unataka u edit uweke picha, inakuambia 'unfortunately gallery has stoped',
'ok/wait/report'
hujamaliza hata hasira unaambia
'jamiiforums has crashed'

na hapo ikikaa sawa utaskia battery low,
ikizima ikija kuwaka uipe dk kumi imalize majukumu yake kwanza,
huku wana jf wanakusubiri...

Halaf yote hayo yanatokea pembeni unaona boksi lake limeandikwa heruf kubwa

TECNO SPARK 3, FOR AFRICA ONLY.

aloo hawa watu ndio maana wana hasira sana kwenye mitandao,

Ukimkuta ana typ kama anapukuchua mahindi
umeamua kutia maneno
 
comment kama hii iishi milele😂😂😂😂
 
Kwenye battery low sio kweli mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom