Kama hii ndiyo idadi ya CHADEMA kutoka mikoa kuja kwenye kesi ya Mbowe, basi chama kimepoteza mvuto kabisa

Mleta hoja nakuja kama ifuatavyo;
  1. CDM ina wanachama wengi mno nchi hii tena ndicho chama chenye watu wengi wasomi kuliko vyote.
  2. CDM imepigwa vita kubwa sana na watawala, mapolisi, na usalama lkn CDM iko palepale.
  3. Kilichofanya ccm na serikali yake kupiga marufuku mikutano ya hadhara ni hofu na woga dhidi ya CDM.
  4. Mtaji wa CDM ni kada ya wasomi (vijana kwa wazee) wanaozalishwa kila mwaka ktk sekondari za Kata.
  5. Mtaji wa "chama chako" ni watu wasiowaza vyema na wenye uelewa finyu.
 
Chadema hii ilikuwa enzi ya Dk Slaa, sasa hivi hamna kitu kabisa wamepuuzwa kila sehemu kwa sababu viongozi wao walikuwa wanatetea mafisadi
-wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao.
- unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2
 
-wamepuuzwa kila sehemu halafu mnawakubalia kwenda ikulu kufanya maridhianao.
- unasema wamepuuzwa wakati wenyewe Tume yenu mliwapa kura milioni 2
Maridhiano gani? Hebu waambie waitishe mkutano wa hadhara waone.

Neno maridhiano ni mbinu ya kudanganyia nyumbu
 
Back
Top Bottom