Kama hii itakuwa ndivyo ilivyo, orijino komedi hongera.

GAGL

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
390
392
Mwanzoni mwa mwaka huu kama si mwishoni mwaka jana, kipindi cha orijino komedi kinachorushwa kupitia TBC, kilirusha uchakavu na utelekezwaji wa makumbusho ya mzalendo wa kweli hayati Edward Moringe Sokoine. Kwa kweli palionesha hali mbaya sana pale.

Leo nimepita pale nimeona kuna ujenzi unaendelea na bila shaka itakuwa ni sehemu ya uboreshaji wa makumbusho hayo. Kwa mara nyingine serikali inatimiza wajibu wake baada ya kusimangwa tena na vijana wanaoendesha maisha yao kwa kutumia vipaji na si elimu.

Serikali imejaa wasomi na wataalamu wa kada mbalimbali ila wameshindwa kuona hata jambo hili lililo na impact kubwa katika historia ya nchi yetu hadi waliposimangwa na orijino komedi!

Hivi hii serikali ni lini itatimiza wajibu wake kwa hiari? Hongereni sana orijino komedi.
 
.....................Mkuu hiyo ni danganya toto ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.Serikali yetu haiwezi fanya mambo bila kupata msukumo,ni serikali ya kusukumwa tu.Miaka nenda rudi makumbusho yale waliyatelekeza bila hata kufagia,pakageuka maficho ya wahuni na wavuta bangi,pakawa ndio choo cha kujisaidia...sasa tunapokaribia miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ndio wanastuka....hii serikali inatia hasira sana...
 
<font size="4"><b>.....................Mkuu hiyo ni danganya toto ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.Serikali yetu haiwezi fanya mambo bila kupata msukumo,ni serikali ya kusukumwa tu.Miaka nenda rudi makumbusho yale waliyatelekeza bila hata kufagia,pakageuka maficho ya wahuni na wavuta bangi,pakawa ndio choo cha kujisaidia...sasa tunapokaribia miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ndio wanastuka....hii serikali inatia hasira sana...</b></font>
<br />
<br />
hapa kwel?. Wadanganyika.
 
Mwanzoni mwa mwaka huu kama si mwishoni mwaka jana, kipindi cha orijino komedi kinachorushwa kupitia TBC, kilirusha uchakavu na utelekezwaji wa makumbusho ya mzalendo wa kweli hayati Edward Moringe Sokoine. Kwa kweli palionesha hali mbaya sana pale.

Leo nimepita pale nimeona kuna ujenzi unaendelea na bila shaka itakuwa ni sehemu ya uboreshaji wa makumbusho hayo. Kwa mara nyingine serikali inatimiza wajibu wake baada ya kusimangwa tena na vijana wanaoendesha maisha yao kwa kutumia vipaji na si elimu.

Serikali imejaa wasomi na wataalamu wa kada mbalimbali ila wameshindwa kuona hata jambo hili lililo na impact kubwa katika historia ya nchi yetu hadi waliposimangwa na orijino komedi!

Hivi hii serikali ni lini itatimiza wajibu wake kwa hiari? Hongereni sana orijino komedi.

Ni vema kuwapa heshima waliofanya kazi kubwa kwa taifa hili........wasiwasi wangu ni hiyo bajeti iliyotumika hapo...sitaki kuifahamu inaweza poteza mood!!!!!!
 
.....................Mkuu hiyo ni danganya toto ya miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika.Serikali yetu haiwezi fanya mambo bila kupata msukumo,ni serikali ya kusukumwa tu.Miaka nenda rudi makumbusho yale waliyatelekeza bila hata kufagia,pakageuka maficho ya wahuni na wavuta bangi,pakawa ndio choo cha kujisaidia...sasa tunapokaribia miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika ndio wanastuka....hii serikali inatia hasira sana...

Sitoshangaa hata kidogo kusikia EL na yule mtoto wa marehemu Sokoine ambaye pia ni mbunge wa kuteuliwa (ccm) wanatanganza kufanya MISA maalum/ufunguzi wa hiyo memorial site!
 
Back
Top Bottom