Kama hayati Magufuli angekubaliana na wazo la CHADEMA la lockdown hizi tsh 1.3t za IMF zingetumika kulipa madeni siyo kuleta maendeleo

Hizo hela zimepatikana baada ya samia kushauriwa na Uhuru kufuata hao mabeberu wanachotaka kuhusu covid like"kuvaa barakoa, kuruhusu chanjo, na kukomaa na covid on medias", which is a very simple thing to do na haina effect yeyote, lakini yule mtu alikaza shingo bila hata sababu ya kueleweka, matokeo ya actions zake ni kukaziwa na mabeberu and akalitumbukiza taifa kwenye mikopo yenye masharti magumu
 
Back
Top Bottom