Kama haya yanayosemwa kuhusu mbinu za Kuficha usijulikane kama una HIV / AIDS ni kweli basi anzeni tu Kutuandalia Makaburi yetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,872
Nimeshtushwa, nimeogopa na nimekosa raha hadi hivi sasa kwani kwa muda sasa nimekuwa nikisia katika pitapita zangu huku na kule kwamba Siku hizi Watanzania wamekuja na ' Ubunifu ' wa Kipekee kabisa ambao unaweza ukamfanya Mtu akiwa anaenda Kupima VVU / UKIMWI na Mwenza wake basi ' Vipimo ' visisome kuwa tayari analipiga vyema Gitaa la Dally Kimoko ( yaani ameshaathirika )

Inasemakana kwamba Mtu akiyafanya haya ndani ya Saa 24 hata kama ameshaathirika na Dally Kimoko / UKIMWI basi zile ' Mashine ' za Kupima kama zitapima basi zitaishia tu kuona Dagaa na Matembele aliyokula au Ugali wa Kiporo kama si Ubwabwa ila ' Virusi ' vyenyewe havitaonekana ng'o.

Wanasema kwamba........

  1. Kama Muathirika akila kwa KitiMoto akienda Kupima hatojulikana kama anao.
  2. Kama Muathirika akinywa Bia ya Safari tu au Gongo ile ya Mvuke wa Kinyesi ( Kali ) akipima hatojulikana kama anao.
  3. Kama Muathirika akinywa Maziwa ya Mtindi akipima hatojulikana kama anao
  4. Kama Muathirika akinywa Vidonge vya Pumu aina ya Salbutamol basi akipima ataonekana hana.
  5. Kama Muathirika akinywa Chai ya Mdalasini akipima hatojulikana kama anao.
  6. Kama Muathirika akijishindilia vyema Mtori akipima hatojulikana kama anao.
  7. Kama Muathirika akila sana Kumbikumbi / Senene akipima ataambiwa hana.

Tafadhalini Serikali kupitia Wizara husika ya Afya na Madaktari mliopo hapa Jamvini JamiiForums tusaidieni katika hili kwani Binafsi hofu imeshatanda Moyoni mwangu hasa ikizingatiwa kuwa wengi wetu tumepita Kwingi na huko Kote ' Kofia Ngumu ' namaanisha ' Helmet ya Kibaiolojia ' ilikuwa haitumiki na kila tuliokuwa tunapima nao majibu yao yalikuwa ni ' Negative ' sasa hatujui ' Negative ' hivyo ni ya Kipimo tu au Mhusika Moyoni mwake alikuwa anajua kabisa kuwa tayari ni ' Positive ' na kwamba anatuua Sisi wengine?

Na endapo haya yanayosemwa huku Mitaani na niliyoyataja hapa ni kweli basi nadhani wengi Wetu huu ni muda sahihi tu wa Kuanza Kuandika Majina ya ' Warithi ' Wetu wa Mali ( Kama pia Mali zenyewe tunazo ) na tutoea tu mapema Maelekezo ya ni wapi tukifa kama siyo Kufariki tukazikwe kama ni hapa hapa Mjini kama alivyofanyiwa Ephraim Kibonde au tupelekwe nasi Vijijini Kwetu kama ambavyo alifanyiwa Ruge Mutahaba.

Nina hofu kubwa na hii Kitu hadi nimekosa hata hamu ya Kula. Madaktari wa hapa JF nitoeni Hofu GENTAMYCINE haraka.

Nawasilisha.
 
Nimeshtushwa, nimeogopa na nimekosa raha hadi hivi sasa kwani kwa muda sasa nimekuwa nikisia katika pitapita zangu huku na kule kwamba Siku hizi Watanzania wamekuja na ' Ubunifu ' wa Kipekee kabisa ambao unaweza ukamfanya Mtu akiwa anaenda Kupima VVU / UKIMWI na Mwenza wake basi ' Vipimo ' visisome kuwa tayari analipiga vyema Gitaa la Dally Kimoko ( yaani ameshaathirika )

Inasemakana kwamba Mtu akiyafanya haya ndani ya Saa 24 hata kama ameshaathirika na Dally Kimoko / UKIMWI basi zile ' Mashine ' za Kupima kama zitapima basi zitaishia tu kuona Dagaa na Matembele aliyokula au Ugali wa Kiporo kama si Ubwabwa ila ' Virusi ' vyenyewe havitaonekana ng'o.
Mambo gani hayi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chanzo cha habari yako kimefafanuaje?, kimethibitishaje? Tuanzie hapo. Mchukue muathirika mnyweshe maziwa kisha mkapime, kesho ulete mrejesho.

Barafu la moto
 
Sasa hiyo nguvu nitaitoa wapi wakati hata hivi sasa Mwenzako nimeshaanza Kuogopa na kuwa na Wasiwasi? Ni jana tu mchana nimetoka Kupima na Demu mmoja hivi ' Baa Medi ' Hospitali jirani na Eneo wanaloishi wale Jamaa Saba ( 7 ) waliochoma Kituo cha Polisi hapo na majibu yakawa ni ' Negative ' ila nakumbuka Yule Demu muda mwingi alikuwa akinukia mno harufu ya Bia ila sasa sijui kwamba alikuwa Safari au Bia nyingine japo wenyewe ' Wataalam ' wameitaja sana Bia ya Safari kwakuwa ina ' Virutubisho ' vingi vya Kiafya hasa kwa Wapiga Gitaa wengi wa Gitaa la Solo la Dally Kimoko ( Waathirika wa VVU / UKIMWI )

Na usisahau kwamba wengine tuna Uadui na Chuki kwa utumiaji wa Kofia Ngumu ya Kibaiolojia a.k.a Tatu Bomba.
 
Kama ni baa maid usiwe na shaka nae, wengi wao wapo fresh tu. Ujanja ujanja mwingi upo mitaani huku, huko kwa wahudumu hakuna shida sana na kuna baadhi ya bar hupima wahudumu wake kila wiki, meenye +ve anaondoshwa. Wewe upo fresh tu, kapime j.tatu kama huamini, utanishukuru kwa haya nisemayo.

Mkuu GENTAMYCINE ahsante kwa tahadhari na Elimu uliyotupa nduguzo ila hebu tupe japo kamfano ka mtu au watu waliofanya hicho kituko maana somehow it will make sense.
 
Kama ni baa maid usiwe na shaka nae, wengi wao wapo fresh tu. Ujanja ujanja mwingi upo mitaani huku, huko kwa wahudumu hakuna shida sana na kuna baadhi ya bar hupima wahudumu wake kila wiki, meenye +ve anaondoshwa. Wewe upo fresh tu, kapime j.tatu kama huamini, utanishukuru kwa haya nisemayo.

Barafu la moto

Asante kwa Kunitia Moyo Mkuu japo wasiwasi wangu mkubwa ni kwamba huyo ' Baa Medi ' amefungasha ' Sofa ' kubwa sana na ni Mdau mzuri na mkubwa sana pia wa Kupenda Kupitia barabara ya Makumbusho Makao Makuu Jengo jipya ambayo wengine ndiyo tumeizoea badala ya ile iliyojengwa na Muumba mwenyewe ambapo Kisayansi kabisa inasemekana huko ' Insects ' ndiyo hupenda Kurukaruka, Kufurahi na Kusheherekea kwa pamoja.
 
Virusi vinaweza kukudaka popote, upite mkato, Barbara ndefu, lami au kokoto!. Hawa flat screened ndo hatari zaidi. Huyo hana lolote we kula maisha tu ndugu.

Barafu la moto
 
Vurushi vinaweza kukudaka popote, upite mkato, Barbara ndefu, lami au kokoto!. Hawa flat screened ndo hatari zaidi. Huyo hana lolote we kula maisha tu ndugu.

Barafu la moto

Wewe Jamaa kweli ni Daktari yaani unajua kweli Kumjenga Mtu Kisaikolojia hata kama anaenda Kufa / Kufariki robo saa ijayo.
 
Kama ni baa maid usiwe na shaka nae, wengi wao wapo fresh tu. Ujanja ujanja mwingi upo mitaani huku, huko kwa wahudumu hakuna shida sana na kuna baadhi ya bar hupima wahudumu wake kila wiki, meenye +ve anaondoshwa. Wewe upo fresh tu, kapime j.tatu kama huamini, utanishukuru kwa haya nisemayo.

Barafu la moto
kwa barmaid nakubal vip wale nao wa kimboka?
 
usiwaze sana mzee kama umeuvagaa poa tu kwani unafikiri ukimwi ndiyo peke yake unaua hata dengue ukikaa vibaya unapita hivi tena ndani ya sekunde chache tu
 
Back
Top Bottom