Noel france
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 988
- 730
Kunasiku moja nilimsikia kuna officer mmoja aliyeamua kujitoa serikalini na kuamua kuunda chama chake cha kisiasa.
Kilicho nifanya nifungue thread hapa ni kwa sababu kuu moja ambayo nimeiyona kama imenifumbua macho na masikio zaidi.
Tukijikumbusha yaliyopita aswa ktk uchagunzi uliopita wa mwaka 2010 Kwa Tanzania ambapo tulitangaziwa kikwete alishinda.
Hapa ndipo ninapotaka kuwaambia na tujadiliane na ikiwezekanika tuungane ili tume uru ya uchaguzi iundwe na tuondokane na tume ya kuteuliwa na rais. Kwani zina madhara ya kupendelea upande mmoja.
Ukweli ni kwambia,kuna radio moja ya nje sina huwakika ni ipi kati ya dochivele na bbs. Ila radio free ndiyo walijiunga nao. Ndipo mtangazaji alipo muhoji yule bwana ambaye alikili na kusema mh. Dr. Kiza Besige alishinda ila wao kama maofficer wa usalama waliagizwa kuyarekebisha, ili kumpa ushindi rais wa sasa mh. Museveni.
Je, inawezekana mbinu waliyoitumi uganda,uwenda na yeye jk kupitia usalama wa taifa na wao walitumia mbinu kama hii?
Kupitia ukweli alioutoa yule officer wa usalama wa uganda naanza kuamini kikwete alishindwa vibaya sana kwenye uchaguzi uliopita wa 2010,ila walibebwa na maofficer wa usalama kama uganda walivyo fanya.
My take.
Kwa style hii machafuko yanayotokana na uchaguzi kwa afrika hayatoisha kama muarobaini wa haya hautokuwepo.